Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue injili imekugusa.Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
hivi hayo mabasi yote ni ya wakristu?Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Mkuu😊😊 tatizo Ni nyimbo za dini (KRISTO) au volume ya juuMabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Mabasi yanayopiga sana hizo nyimbo ni ya njia ya iringa/ mbeya na Moshi /Arusha sehemu zingine ni nadra sana,hivi hayo mabasi yote ni ya wakristu?
kama syo basi jiulize ni kwanini hood ya mwislamu inapiga nyimbo za kwaya, kwanini tashrifu inapiga kwaya.
Mabasi yote yanatakiwa kuwa noice free area. Hivi kupiga nyimbo za injia au kaswida vina uhusiano gani na kutenda mema? Sana sana imekuwa ni sehemu ya kuficha maovu.Unamatatizo kwani Kuna shida Gani kusafiri kwa upako, hata kaswida wanapiga ila kaswida zipo chache
Hazitakiwi kabisa. Kusikiliza nyimbo za injili siyo kumwabudu Mungu.Tatizo zimeegemea dini moja bila kujali ipo nyingine
Sawa mkuuTatizo zimeegemea dini moja bila kujali ipo nyingine
Inabidi wenye mabasi waanze kuingiza mabasi yanayotumia headphones badala ya spikaMabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Ila kwaya nyingi zina maadili mazuri.