mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 276
- 452
Siku inayofwata ilikuqa ni siku ya kupiga kwaswida na wewe hukusafiri ndiopo shida ilipo cha msingi wewe safiri kila siku nyimbo zako utazisikia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kilaza umeelewa nilicho quote?Sasa umepanda Bas mmiliki na wafanyakazi wana wa Israel sasa unategemea kukuta kaswida mle tafuta lenye kaswida panda
Yenye kaseida mbona yapo mengi mkuu. Ni uchaguzi wako tu.Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Nashauri Serikali ikataze huu ujinga mara moja kwani hizi nyimbo za injili hazina maana yeyote kwetu wananchi ni bora tu wakapiga nyimbo za kuisifu nchi yetuMabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Hapa tuko kueleweshana siyo matusi kama ulikuwa na nia ya kueleweshana ndio hivyo panda gari au usafiri inakuitaji siyo matusi ujui unatukana kuwa mstarabuWe kilaza umeelewa nilicho quote?
Mnapenda kulalamika sana,kwani Hilo Basi ni la serikali au la mtu binafsi?Unamatatizo kwani Kuna shida Gani kusafiri kwa upako, hata kaswida wanapiga ila kaswida zipo chache
Wewe ni mwehu,hata atheist wenye akili timamu hawapingi ujio wa Yesu,wanapinga Uungu wake,na wanapinga uwepo wa Mungu.Zaidi ya hadithi zenu za kale mnazopigiana na vitabu vyenu mlivyoletewa na mkoloni mweupe, hakuna any scientific evidence yeyote ya mtu anayeitwa Jesus christ aliwahi kuishi hii dunia au kufanya miujiza yeyote, mzungu aliwaharibu sana akili
Ungekuwa mstaarabu usingequote usichokielewaHapa tuko kueleweshana siyo matusi kama ulikuwa na nia ya kueleweshana ndio hivyo panda gari au usafiri inakuitaji siyo matusi ujui unatukana kuwa mstarabu
Sasa mabasi yao ndio utaratibu was huwezi wazuia ukipenda panda uwezi nunua lako basiUngekuwa mstaarabu usingequote usichokielewa
Mimi sijazuia watu kupiga kwaya, nenda kaangalie nilichojibu ndio utaelewaSasa mabasi yao ndio utaratibu was huwezi wazuia ukipenda panda uwezi nunua lako basi
Huna ear phones?Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo zinakuwa zimeegemea dini moja na kubagua nyingine kitendo ambacho kinachochea udini
Vilevile sauti kubwa kupita kiwango jambo ambalo linawaumiza abiria wengine wanaohitaji umakini
Kwani ni dini gani nyingine yenye nyimbo mbali na ukristo?Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.