Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo pupate matumaini.Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).
Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! ๐๐พโโ๏ธ๐ค
View attachment 3132661
Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo .Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).
Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! ๐๐พโโ๏ธ๐ค
View attachment 3132661
2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto?
Low IQ Bantusโฆ..
Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu.Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).
Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! ๐๐พโโ๏ธ๐ค
View attachment 3132661
Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu.
Vv
2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto?
Low IQ Bantusโฆ..