Kero ya Maji baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).

Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔

F3918A1D-23CE-4AC4-91C2-B771B15DA435.jpeg
 
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).

Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔

View attachment 3132661
Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo pupate matumaini.
 
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).

Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔

View attachment 3132661
Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo .
 
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4).

Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔

View attachment 3132661
Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu.

Vv
 
Mamlaka za maji nyingi zina matatizo yanayofanana, maji hayatoki kwa wakati

waziri husika afuatilie hizo mamlaka
unakuta miundo mbinu ya maji ipo vzr, vyanzo vya maji hakuna ukame, bili znalipwa. Kwa nini maji yasitoke masaa 24
 
Maji hakuna na ajabu ni kwamba kuna waziri wa maji na mamlaka zake...

Kipindi maji hakuna walipaswa wasipokee mishahara sababu huduma muhimu inayoumda wizara au ofisi waliopo haipo...
 
Ukiwasikia vidampa wa yule mama humu wanavyosifia sasa.

Aibu gani hiyo sasa jiji kubwa kukosa maji?
 
Back
Top Bottom