A Anonymous Guest Oct 13, 2026 #1 Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji. Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma? Maoni yenu ni yapi?
Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji. Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma? Maoni yenu ni yapi?