Kero ya Moshi kwenye ofisi yangu kutoka kwenye jiko la chips na mishikaki.

Kero ya Moshi kwenye ofisi yangu kutoka kwenye jiko la chips na mishikaki.

Kodi unalipa sh ngap? Bei ndo imeamua moshi ukufuate ofsini kwako
 
Nimeongea na mchoma nyama unayemsema, anasema wewe ndo ulianzisha ofisi karibu na sehemu yake ya kuchomea nyama.
 
Enzi hizo Kuna sehemu nilikua nafanya kazi, ofisi yetu ilikua jirani na makazi ya watu.

Sasa kuna siku mbwa wa nyumba ya jirani na ofisi akawa anabweka.

Boss wangu, mwanamke wa kihindi akaja kuniambia eti niende hiyo nyumba ya jirani nikawaambie wamnyamazishe mbwa wao.

I was like wtf??? Ukizingatia mimi nilikua ni dereva tu wa kampuni.

Mkuu rich1 kuna mambo ni ngumu kuyazuia
 
Habar wandugu.....
Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
Hama na Kodi usamehe. Ukiendelea kuvuta mimoshi hiyo in 3 years unavuta.
 
Habar wandugu.....
Pemben na ofisi yangu imeanzishwa biashara ya kuchoma nyama na chips, naomben njia ya kukwepana na kero ya mosh kutoka kwenye majiko.
Vaa barakoa
 
Back
Top Bottom