KERO Kero ya nauli Pangani; Baadhi ya magari yanayotoza nauli Tsh. 5000 badala ya Tsh 4000

KERO Kero ya nauli Pangani; Baadhi ya magari yanayotoza nauli Tsh. 5000 badala ya Tsh 4000

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Black cap

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2023
Posts
1,004
Reaction score
1,353
Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda Tanga ni 50.7Km na barabara ni nusu lami, nusu vumbi.

Lakini kumekuwa na magari yanayotoza nauli elfu tsh. 5000/= na mengine elfu 4

Hii imekuwa Kero kwa kweli, tunaomba mamlaka zinazohusika liliangalie hili suala. Pangani tulikuwa tumelala ila sasa tumeamka. Nauli halali ni 4000/=

Mbunge wa maji Aweso tafadhali sana tunakuomba fanyia kazi suala hili.


Screenshot_20260419-180911~2.png
 
Back
Top Bottom