Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo.
Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Hizi picha ndivyo uhalisia ulivyo…