Friji la mtumba
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 277
- 434
Umemiss ubachela wewe.Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo.
Kero kuu za maisha ya bachela:
1. Hakuna mtu wa karibu wa kweli: Unaugua, unahitaji mtu wa kukuangalia – unaishia kupiga simu “umepotea sana mrembo.”
2. Chakula ni kama adhabu: Unakula chipsi, wali wa mama Ntilie au unaagiza kila siku. UPUUZI
3. Uchafu wa maisha: Vyumba vya wengi vina harufu ya soksi, sahani haijaoshwa wiki mbili, sinki limejaa maji.
4. Mastress ya mapenzi: Leo unaambiwa “niko busy,” kesho “nipo kwa shangazi,” halafu unakuta anapost picha na mtu mwingine.
5. Gharama zisizo na tija: Kila weekend unaingia ‘mtego’ – outing, vocha, drinks, surprises. Mwisho wa mwezi huna savings wala maendeleo.
6. Upweke wa kweli: hii inapelekea wengi kua waraibu wa punyeto na kupelekea kukosa nguvu za kiume..
Wanaume wenzangu tuliooa, hebu tusifiane kidogo:
Haya yote sisi tumeepuka. Tuna wake halali, tunafanya tendo kwa uhuru na amani, tunajua kesho tunakula nini, na maisha yanapangwa kwa pamoja. Ni heshima, ni amani, ni maisha ya kujengeka.
KATAA NDOA WENGI HAWAPO SAWA VICHWANI
Ukikutana live na team kataa ndoa ukazungumza nae dk 2 tu unajua kichwani kuna changamotoUsilazimishe kila mtu aoe, kuoa ni maamuzi personal!
Una uhakika gani kusema ww ambae hujaoa unasave kunizidi nilieoa??? Unafaham kipato changuKupika & Usafi hizo ni tabia kama hukufundishwa kwenu walaumu wazee wako, watu tunakaa mageto masafi muda wote na ukitaka kupika nusu saa umemaliza.
Stress za mapenzi hizo nazo ni mambo ya kujitakia ukiwa mwanaume karne hii.
Kuhusu savings mimi ambaye sijaoa nasave kukuliko.
Nenda urudi na hoja nyingine
Izo janjajanja tafuta mwanamke OA ubarikiweTafuta kero nyengine ....hizo point zote ni kukosa hela tu ukiwa na hela ya kutosha kila kitu kinakaa sawa
Na unaweza ukawa na mke lakin asikujal kama anavyokujal demu wako wa nje ya ndoa
#anayetaka kurenew card ya KATAA NDOA anicheki ni bure
Mnapitia vipindi vigumu sana chini chiniTafuta hela mkuu, yaani uwe na fuba halafu uwe unakula msosi wa aina moja daily??
Ilhali migahawa kibao unaweka order ya unachotaka kula na unapikiwa, usafi unaita mtu wa usafi, kuna mashine kibao za kufanyia usafi.
Upweke gani huo??
Ipo vipiMi nadhani hizo zilikuwa ni tabia zako tu mkuu... mbona haiko hivyo kabisa
Kubarikiwa haiusiani na kuoa kiongoziIzo janjajanja tafuta mwanamke OA ubarikiwe
Shauri yakohuna hoja upuuzwe.
Upo single na bado unabehave smartest in everything....mi nadhani tatizo ni kuamuaIpo vipi
Wanaelewa sema wanakaza vichwa tuUmemaliza mkuu