Wewe ni bachela bila shakaHizo sio sababu madhubuti za kumfanya mmoja kuamua kuoa, ni sababu za kitoto sana.
Eneweiz kila mtu ni Raisi wa kichwa chake mwenyewe.
Hapana sijazielewa tu sababu zako mkuu, ila tujitahidi kutowaaminisha watu vitu. Hakuna upande ulio salama.Wewe ni bachela bila shaka
Bonge la point, kataa ndoa tuna magenius wanaojua kujenga hoja💪 akikujibu nitagKupika & Usafi hizo ni tabia kama hukufundishwa kwenu walaumu wazee wako, watu tunakaa mageto masafi muda wote na ukitaka kupika nusu saa umemaliza.
Stress za mapenzi hizo nazo ni mambo ya kujitakia ukiwa mwanaume karne hii.
Kuhusu savings mimi ambaye sijaoa nasave kukuliko.
Nenda urudi na hoja nyingin
SawaHapana sijazielewa tu sababu zako mkuu, ila tujitahidi kutowaaminisha watu vitu. Hakuna upande ulio salama.
😆😆😆 🙌 🙌#anayetaka kurenew card ya KATAA NDOA anicheki ni bure