Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

2. Chakula ni kama adhabu: Unakula chipsi, wali wa mama Ntilie au unaagiza kila siku. UPUUZI
- Hii ni shida ya kujitakia.

Je nini cha kufanya:
1. Nunua pressure cooker
2. Nunua vyakuala unavyopendeloea weka ndani na uwe unajipikia

Mfano:
  • wali huiva kwa dakika 12.
  • Maharage huiva kwa dakika 25
  • Tambi/ samaki/ Chini ya dakika 3 chakula kiko tayari

Je hadi hapo hujala tu ??
 
Mwanaume hakuumbiwa kuishi bila mwanamke..

Na mwana mke hivyohivyo...

Hawa kataa ndoa ni wale chini ya miaka 30..

Subiri ufikishe 30 na kuendelea kama utakataa ndoa..
 
Ni kweli kabisa
 
Happiness is simple, wengi bongo zao zinaugua ila hawajijui, ukiishi Kwa kuangalia wengine utaumia. Lazima ujifunze kumiliki akili yako, upwiru ndo unawaua vijana.
 
Kataa ndoa wengi hawanaga hii akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…