mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
huu uzi una mambo ya wakubwa sana nitapofukaUnatakiwa kudate na mume wa mtu anayejitambua, sio yule ambae kila siku anakusimulia kero za mke wake.
Anaweza akakusikulia lkn isiwe too much, pia awe na mipaka sio kila jambo anasema.
Unakuwa na mume wa mtu kwa lengo la kuhave fun pamoja na kushauriana mambo ya hapa na pale na sio umchukulie seriously kama ni wa kwako.
Kufichwafichwa ni lazima, sio jambo la kulalamika.
Yaani wewe hujatofautiana sana na watoa commentsMungu hawezi kukuinulia mume wa mtu awe msaada kwako hata siku moja,kutembea na mume wa mtu ni dhambi ya USALITI,usaliti unaleta maumivu kwa msalitiwa,usaliti unaondoa upendo,usaliti unaleta chuki,usaliti unaleta roho ya kisasi,usaliti unaondoa amani,usaliti unaondoa baraka ...huyo dada hakutakiwa kuanza kutembea na mume wa mtu akiwa katoka kwenye maombi,alivyotoa tu hiyo nafasi alimpa shetani nafasi akajigeuza kama malaika wa nuru,hapo anadhani ni Mungu hapana,agizo la Mungu ni ndoa iheshimiwe...kama kweli ni mtu wa imani na maombi alitakiwa kujua pia namna ya kutafakari majibu kwa njia ya roho na sio njia ya mwili...binafsi ningemshauri pombe toba na rehema na aachane na huyo mtu
Mmh awe makini,tatizo majibu ya shetani mwanzoni ni matamu kama asali ila mwisho ni shubiri,hana mwisho mwema huyo dada...Yaani wewe hujatofautiana sana na watoa comments
Waislam na wale wengine don't care wanamwambia shikilia hapohapo
😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿Yaani,mimi ni mpenda attention sana yaani mtu aniambie shuka kwenye gari wife anapiga video call kweliii?haki siwezi kuvumilia hayo maumivu
Hey
,Weekend kwangu ipo poa sana,Natumaini hata yako imetulia,kinyume na hapo jipe moyo siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa,ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine...Jamani,kina dada hii kitu mimi ilishanishinda sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo,yaani ukute huu muda dada uko zako hotel happily na married man sijawahi enjoy,nishajaribu kudate nao mara kadhaa ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua sifiki mbali yaani kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao,mfano
1.UONGO,
Jamani hao viumbe ni waongo Shetani akasome,utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke kwanza alilazimishwa kumuoa,mwingine utasikia kwanza silali nae chumba kimoja mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic
,ukisikia hizo mambo za design hivo sister,Don't buy it!
2.UNAFIKI
Hao jamaa achana nao,kuna wale wanafiki uko nao ila kila muda utasikia wife this,wife that,yaani anajifanya anampeeeeendaaaaa unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat?nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini,hilo penzi linanishinda kabisaa,Inakata sana stimu
3.UMBEA
kuna wale wasengenya wake zao oooohooo usiombe ukutane nao anamuanika mkewe unabaki kushangaa,huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii
NUKSI
Ukiwa nao hao mambo hayaendi kabisa kuna namna tu unakuwa unakwama,sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi,au ni vile mi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13 :4 " ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi
KUFICHWAFICHWA.
Yaani unakuwa kama heroine,huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu,utasikia "Baby ndio nimefika home usinipigie,usiku mwema ,nakupenda sana🙄🙄🙄"Whaaaaat?
Anyway yako mengi,sijui wenzangu mnawezaje,ila kupanga ni kuchagua ,maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single..wake up weekend njemaaa

Ndio umeamua kuja kunisema hukuHey

Na kila akitaka kutoka anashindwaMmh awe makini,tatizo majibu ya shetani mwanzoni ni matamu kama asali ila mwisho ni shubiri,hana mwisho mwema huyo dada...
Unalala namtu bila condom unataka nini si magonjwa .Ndiyo hivo
Hadi power ceff zimeshakuwa resistance kutibu gonorrhea
Yeye ni mateka,na itachukua muda kujitambua kama ni mateka...si unajua yale mafundisho ya kwamba kuna mtu unatenda dhambi hiyo hiyo kila siku ukimaliza unajuta,huna amani ila huwezi kuacha,hapo maana yake wewe uko gerezaniNa kila akitaka kutoka anashindwa
Shida mpya inainuka
Nadhani atafute shughuli ya kumuwezesha kutimiza mahitaji yake
Then ukamtelekeza Na mtoto wakeAhahah,,eti "wife this, wife that!"
Ila sisi wame za watu tunajua kutunza michepuko, mchepuko wangu wa kwanza alikuwa rafiki wa mke wangu anamletea nguo na mikoba kwa mkopo, iyo mwaka 2004, nilienda naee yule mchepukoo, siku wife alipogundua alimfuata dukani kwake tegeta, zilipigwa sana,
Mpk kuwekana ndani.. kumkomesha akaja kunizalia na mtoto kabisa,
🤣🤣🤣ni kweli ulikuwa una date mdogo wake au uliamua kumchanganya adui?Kuna mubaba alinipigia simu siku moja,kaanza mbali wer akawa ananiambia huo ujinga eti mke wake ana kiburi,mara sasahivi hashiki mimba
Mara mkewe kakatisha sebuleni,akabadilisha lugha,akaanza kuongea kingereza😂
Nikamuacha akatiririka wee,,mtu na heshima zake..halafu sasa mimi ni kama mdogo wake wa mwisho.
Lengo lake sasa,Eti toka unakua nakuona ni binti mwenye nidhamu,nadhani utanifaa...Chaaa
Nikamwambia muombee mkeo sana.
Nikamwambia mie nadate na mdogo wako,alishtuka akaanza kujikanyaga.
Mmh sawa Demi!maana wewe halmashauri yako ya kichwa inaendaga anticlockwiseUnatakiwa kudate na mume wa mtu anayejitambua, sio yule ambae kila siku anakusimulia kero za mke wake.
Anaweza akakusikulia lkn isiwe too much, pia awe na mipaka sio kila jambo anasema.
Unakuwa na mume wa mtu kwa lengo la kuhave fun pamoja na kushauriana mambo ya hapa na pale na sio umchukulie seriously kama ni wa kwako.
Kufichwafichwa ni lazima, sio jambo la kulalamika.
Lipo kiutamaduni fulani linavutia
VIBUNDA in mshamba_hachekwi voice.....sasa mtu atanipa kibunda chake kweli kama simpi gudigudi?Ila invoice za marundo mnazipokea tu kwa moyo mkunjufu
Lazma umpe nyau wako tu 🤣! No nyau no moneyVIBUNDA in mshamba_hachekwi voice.....sasa mtu atanipa kibunda chake kweli kama simpi gudigudi?
Anaongea tu huyo 🤣 kodi ikilipwa hakatai
Eti hadi kamuoa hajagundua kama umri tofauti kwelii?😁😁😂😂😂😂
Yaani mtu sijawahi kuwa na mazoea naye
Siku hiyo nikashangaa amenipigia..
Akauliza kwanza,upo Na nani hapo karibu?
Nikamwambiaa Niko mwenyewe..
Hee nikaona anatiririka wee
Matatizo yake yooootee.. toka anamtongoza huyo mkewe..mara anasema mkewe alimdanganya miaka
Amegundua eti ni mkubwa kuliko yeye
Aisee yaani nyie wanaume sio watu😂
Nikamwambia hakuna mtu ambaye hana matatizo.