Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Alafu na yeye achukuliwe na mdada toleo jipya. Ila life kweli ni mzunguko.Tafuta na wewe Mume wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu na yeye achukuliwe na mdada toleo jipya. Ila life kweli ni mzunguko.Tafuta na wewe Mume wako.
Ahaaa sasa hapo ngoja nikueleweshe Legend,yeye kama atapiga huko nje hiyo juu yake,mimi ninachofanya hapa ni kuwaambia wadada umuhimu wa kuwa na koloni lako,wasikubali kuwa spare tyre bwanaKwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣
Niwe single MazaNa ungezubaa angekupiga mimba ya chapchap!
Tena anasema kabisa anamuacha mke wakeNa ungezubaa angekupiga mimba ya chapchap!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DA anne, mie mbavu zinaumaa hapaa. Woiiiih.Jibaba jitu Zima linanidanganya
Ooh yaani nikiwa na wewe ni binti mzuri sana mwenye heshima...yaani kwenye familia yenu wewe unanivutia zaidi una heshima sana
Eti ntakutunza kama mtoto wangu
Ntakupa kila kitu
Nyie mibaba mjiheshimu..
Mimi mtu anayenidanganya Kwa vitu ndio namuogopa zaidi Kwa sababu sishawishiki Kwa mivitu.
o uko sawa mkuuWanaume tuwe busy kidogo hawa mashangazi mtatutafuta kama paka na panya, bado kidogo wanaume ni gold sasa hivi, sisemei vivulana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiii Leo umeamua univunje mbavu, LolKipindi hicho nimemaliza chuo
Sina hata hela napumzika kutoka kwenye hekaheka za kitabu mtoto wa watu.
Jitu zima linakuja kunidanganya linibemende.
Wasipokubali unadhani upwiru unatolewaje? Yaani wewe ukiwa main, kuna mwenzako anafanywa side, bila hivyo kuna Ke wengi wataishi kwa shida sana.Ahaaa sasa hapo ngoja nikueleweshe Legend,yeye kama atapiga huko nje hiyo juu yake,mimi ninachofanya hapa ni kuwaambia wadada umuhimu wa kuwa na koloni lako,wasikubali kuwa spare tyre bwana
Jitunze binti Sayuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiNa ungezubaa angekupiga mimba ya chapchap!
Nipeleke Cheka 2 shouss tukapige hela 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiii Leo umeamua univunje mbavu, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena anasema kabisa anamuacha mke wake
Anatishia kumuacha
Eti hadi kwao amewaambia anamuacha mtoto wao
Nyie huko Jehanam itakuwa fainali moto mkali Kwa dhambi ya uongo[emoji23][emoji23]
Wazinzi ndio sababu zao hiziKwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyiee watu, khaaahNipeleke Cheka 2 shouss tukapige hela [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ambavyo kuna nyakati ulifanywa side(according to you), sasa umekuwa main na kuna mwenzako ni side....that's how the world rolls.Kweli kabisa haiwezekani?sitaki kuamini