Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiii
Tena muda huo amenipigia
Anasema Kuna jambo muhimu nataka tuongee
Mi hadi nikaogopa

Huwa Nina nidhamu ya uoga hasa Kwa mtu ambaye sijamzoea...tena kuongea na simu huwa nipo mzito Sanaa.

Hee anatiririka matatizo wee
Halafu ananiuliza eti hii ni sawa kweli mimi kudangaanywaa miaka?
Namsapoti kuwa kweli si sahihi.

Yaani mtu mwenyewe hajasoma kabisa
Biashara yenyewe amefeli

Khaa ila watu
Kwani hakumuona kama hajasoma?😂
 
Ili umuonee huruma 😅
 
Hey
,Weekend kwangu ipo poa sana,Natumaini hata yako imetulia,kinyume na hapo jipe moyo siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa,ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine...Jamani,kina dada hii kitu mimi ilishanishinda sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo,yaani ukute huu muda dada uko zako hotel happily na married man sijawahi enjoy,nishajaribu kudate nao mara kadhaa ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua sifiki mbali yaani kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao,mfano
1.UONGO,
Jamani hao viumbe ni waongo Shetani akasome,utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke kwanza alilazimishwa kumuoa,mwingine utasikia kwanza silali nae chumba kimoja mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic
,ukisikia hizo mambo za design hivo sister,Don't buy it!

2.UNAFIKI
Hao jamaa achana nao,kuna wale wanafiki uko nao ila kila muda utasikia wife this,wife that,yaani anajifanya anampeeeeendaaaaa unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat?nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini,hilo penzi linanishinda kabisaa,Inakata sana stimu

3.UMBEA
kuna wale wasengenya wake zao oooohooo usiombe ukutane nao anamuanika mkewe unabaki kushangaa,huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii

NUKSI
Ukiwa nao hao mambo hayaendi kabisa kuna namna tu unakuwa unakwama,sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi,au ni vile mi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13 :4 " ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi

KUFICHWAFICHWA.
Yaani unakuwa kama heroine,huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu,utasikia "Baby ndio nimefika home usinipigie,usiku mwema ,nakupenda sana🙄🙄🙄"Whaaaaat?

Anyway yako mengi,sijui wenzangu mnawezaje,ila kupanga ni kuchagua ,maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single..wake up weekend njemaaa
Joanah single boy apa tule life
 
Sijasoma yote ila Pole sana kwa yaliyokukuta
 
Mimi mmenishinda.
Tafuta wako Akupende Na Umpende Anza naye chini hata kama hana Kitu Wanaume wengi wakiwa wanajitafuta wanakuwa wa hovyo ila akipat mwanamke sahihi anakuwa kwenye mstali Sasa Nyie wanawake mnataka Umkute mwanaume ashajipanga kumbe akijipanga kuna mtu ashajipanga naye ndio huko sasa unako angukia kwa waume za watu.
 
Unatakiwa kudate na mume wa mtu anayejitambua, sio yule ambae kila siku anakusimulia kero za mke wake.
Anaweza akakusikulia lkn isiwe too much, pia awe na mipaka sio kila jambo anasema.

Unakuwa na mume wa mtu kwa lengo la kuhave fun pamoja na kushauriana mambo ya hapa na pale na sio umchukulie seriously kama ni wa kwako.
Kufichwafichwa ni lazima, sio jambo la kulalamika.
Umewaambia ukweli demi,hyo ndo reality.
 
Kumbe tatizo

ni wewe🤣 tafta kitoto ukipelekeshe sasa ukilee kama shishi anavyolea vijana.
Kabisa mkuu..mtu ana miaka 35 na ni single maza. Unapata wapi mwanaume wa peke ako? Labda aliye fiwa na mkewe au kuachana na mkewe,maana ni nadra kukuta mwanaume wa miaka 40 hajaoa. Hivyo atafute tu dogo amlee
 
Harsh reality, ni ngumu wao kuamini ukweli huu mchungu. Mtu kakukuta 35+ tena uko na watoto anaanzaje kuji-commit kwako 100%. Mahusiano yenyewe siku hizi ni kuviziana tu.
 
Vilevile unakuwa haulifaidi HOGO LAKE vizuri, analibania sana hakupi hogo lote hadi lifike kwenye maini......... eti anambakizia mkewe!

Unabakiza ya nini weweee dumbukiza hogo lote unibomoe uchi ipasavyo mpaka niwehuke. Unidinye kikamilifu mpaka niombe maji!!

Sipendagi kupewa hogo nusu nusu mimi.

Cc: Lamomy Mbaga Jr Poor Brain cocastic Extrovert dronedrake Maghayo Mwachiluwi
Mtoto ushakuwa shoga tayari na mods nao wanakuangalia tu hivihivi kiukweli unatia kinyaa mno
 
😳Ila bro unakauli zisizobariki....I don't know why? Hivi upo perfect Sana eti?
Mimi sipendi unafiki na kujipendekeza,
Ubaya uko wapi kwenye hayo maswali yangu?

Yani unashangaa maswali yangu ila humshangai mleta mada kuanzisha uzi wa kujitapa kua anatoka na waume wa watu?
Nimekushangaa sana kunishangaa mimi badala ya kumshangaa mleta mada!
 
Back
Top Bottom