Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

Safi kabisa,muongezee mtoto wa pili mkuu. Nimezaa na mmoja,yeye muda wote ana hasira na mke wangu tuhasirw

Safi kabisa,muongezee mtoto wa pili mkuu. Nimezaa na mmoja,yeye muda wote ana hasira na mke wangu tu.
Mimi mkewe hanijui simjui na muheshimu sana na Wala sitaki anijue kikubwa naangalia furaha yangu tu.
 
Akileta story za mkeo tafuta namna kuepusha, ukiona anazidisha mwambie ukweli, hatupo hata kumjadili wife. It's you n' me.
Mkuu,yaan hata nikisema niwapitie na gari,mwanamke ataanza kusema ziwezi kupanda gari anayo panda mke wako,na mtoto wangu hawezi kupanda hilo gari analo panda mkeo na watoto wenu..yeye halimuhusu. Nmepanga nimpotezee,maana anajisahau hata hela ninazo mpa zinatoka kwenye familia yangu.
 
Hapo kazi unayo, kuna wadada vichefuchefu sana. Ukiona hivyo anataka umnunulie gari yake.
 
Mkuu,yaan hata nikisema niwapitie na gari,mwanamke ataanza kusema ziwezi kupanda gari anayo panda mke wako,na mtoto wangu hawezi kupanda hilo gari analo panda mkeo na watoto wenu..yeye halimuhusu. Nmepanga nimpotezee,maana anajisahau hata hela ninazo mpa zinatoka kwenye familia yangu.
Huyo kichefuchefu na wanawake Kama hao huwa warogaji wazurii sana jipange,anachukia familia yako kwani ndiyo ilikutuma umfanye mchepuko hata iwe vipi mkeo atabaki kuwa mkeo na yeye mchepuko tu Kama alikubali kuingiza kwenye hayo mahusiano akubali yote kikubwa angalie furaha yake anapata
 
Back
Top Bottom