Kero za kudate mume wa mtu

Shida ya michepuko huwa ni kutaka kukumiliki huku akijua unamilikiwa yaani niache familia yangu na watoto kwa ajili ya utamu wako ,eti unaliza unampenda mkeo au mimi ? ,Eti unamsikiloza mmkeo au mimi ,mbona Mkoe mbaya kuliko mm na kelele kibao

USSR
 
Shangazi unafeli wapi wewe🤣🤣🤣🤣
 
Hii ngumu sana ni kweli uongo unakuwa mwingi, You can't save two women at the same time. Dhambi kubwa sana. Shida kwa kina Dada inakuwa ni kutafuta hifadhi ya nafsi, mahitaji ya kimwili na kihisia, mahitaji ya kifedha au huwa inakuwaje ?
Mume huwa anatengenezwa. Au ndio zile za kutaka upate Bwana mwenye hadhi fulani ? Hilo jambo halipo na ukilifanya unakuwa unafanya kitu kibaya sana.
Vijana ambao tuko single tupo mashangazi changamkeni 😃😃😃
 
Mleta mada wacha kutuharibia mkuu. Hoja zote ulizotaja ni kwa Me wenye matatizo yao binafsi tu. Kwamba nimseme my wife wangu mbele ya concubine, kwamba hatuna mambo mengine ya kuzungumza hadi tuongee habari za wife?
Nawastua wadogo zangu waache kupoteza muda,.....au wewe ndio wale wa kujifanya my wife is amazing huku unambusu concubine 😁?
 
Ahahah,,eti "wife this, wife that!"


Ila sisi wame za watu tunajua kutunza michepuko, mchepuko wangu wa kwanza alikuwa rafiki wa mke wangu anamletea nguo na mikoba kwa mkopo, iyo mwaka 2004, nilienda naee yule mchepukoo, siku wife alipogundua alimfuata dukani kwake tegeta, zilipigwa sana,
Mpk kuwekana ndani.. kumkomesha akaja kunizalia na mtoto kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…