Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe.
Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10 zimeongozana na kila moja ikikutaka ama u bet au ucheze mchezo wa bahati nasibu, kiukweli hii sio sawa kabisa, kwani utaratibu wa hv vitu ni lazima mteja kwa ridhaa yake ajisajili ili kupata hizo jumbetaka (spams).
Huwa zinakera sana hasa pale umekaa kwa tension unasikilizia ujumbe muhimu, mara inaingia msg na ww kwa haraka unadhani ni ujumbe fulani (kama muamala) utakuwa umeingia kwenye simu yako, mara paap unakutana na ujumbe unakuambia "HONGERA UMECHAGULIWA KUSHINDA MIL 20, WEKA BUKU TU UINGIE KWENYE DROO" seriously!? This is very disturbing and disgusting ever.
Kampuni za simu tunaomba mtuondolee hii kero kwa kuwa nyie ndio mnaohusika na kunufaika na hizi kero tunazozipata, na ndio nyie pia mnaotoa namba zetu za simu, hili ni kosa, ipo siku mtaburuzwa mahakamani kwakuwa kuna wakati hizi jumbe taka zinaleta madhara kwa mtu, hasa mshtuko.