masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!