Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

Wakati mwingine unanishangaza, mbele ya kubakwa kote huku, unasema hivyo?
Wako wanaume wa aina mbili, aina ya kwanza ni wale wanaume wenye roho ngumu, vinganganizi ambao wakipenda, ni wamependa, hata mwanamke afanye vitimbi gani, hawaachi, mwanamke atagongwa, atakuwa gawa gawa, as long as amependwa, ataendelea kupendwa.

Type ya pili ni wale wanaume wenye roho ndogo, roho nyepesi, roho laini, mwanamke amepigwa tuu nje, yeye anaacha penzi linakufa.

Mimi ni ile type ya kwanza and this is my true story Enyi Waume, Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 asubuhi!-Bado Nampenda!

Na hii ni scenario ya huu muungano wetu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

P
 
Wako wanaume wa aina mbili, aina ya kwanza ni wale wanaume wenye roho ngumu, vinganganizi ambao wakipenda, ni wamependa, hata mwanamke afanye vitimbi gani, hawaachi, mwanamke atagongwa, atakuwa gawa gawa, as long as amependwa, ataendelea kupendwa.

Type ya pili ni wale wanaume wenye roho ndogo, roho nyepesi, roho laini, mwanamke amepigwa tuu nje, yeye anaacha penzi linakufa.

Mimi ni ile type ya kwanza

P
Paskali, Pascal Mayalla, I am sure that's not you!!!!
 
Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.

Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar

Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?

Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.

Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.

Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.

Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.

Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Kikubwa tu ni fedha nyingi zinatoka bara kwenda visiwani na viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi ni wazanzibari, Kama nchi ina Raisi wake kwanini itegemee fedha kutoka bara? Inamaana kama ilikuwa kwamba bara ndio ina support Zanzibar basi Zanzibar ilitakiwa kuwa Mkoa lakini sio nchi.
 
Nimesitushwa kuwa Tshs 50billion fedha za kutoka Bara ndio zinajenga uwanja wa AFCON Zanzibar, wakati huku mabarabara yana mashimo kibao nchi nzima.
CCM imekaa kama mfu!
 
Nimesitushwa kuwa Tshs 50billion fedha za kutoka Bara ndio zinajenga uwanja wa AFCON Zanzibar, wakati huku mabarabara yana mashimo kibao nchi nzima.
CCM imekaa kama mfu!
leo hii gerezani kariakoo pale katikati ya jiji mitaro inatoa uchafu na harufu mbaya tena barabara ni mbovu sio masihara halafu tunashindwa kufanya maendeleo in the expense of someone else
 
Ukitaka kujua Nyerere hakuwa kiongozi mzuri kihivyo kama wanavyomsifia just angalia muundo wa huu muungano ulivyo ni obvious Nyerere alikurupuka, Tanganyika haipo ila Zanzibar ipo
kwa sasa wao wanamaraisi wawili kwa mpigo tanganyika hakuna.
Ni bora mfumo ungekuwa wa marais wawe watatu.

Na sis tungekuwa na rais wa tanganyika
 
Enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa kulikuwa hakuna kuhoji. Enzi za Nyerere kuliibuka kundi la G-55 wakahoji Muungano na Bunge kupitisha Azimio la kuundwa serikali ya Tanganyika, PM akiwa JSM, Nyerere alikasirika sana, JSM na wabunge, wakagombezwa kama watoto, wakanywea. Vuguvugu la kuhoji muungano likaibuka tena 2010 wakati Zanzibar walipopitisha mabadiliko ya katiba yao na kuuvunjilia mbali muungano kwa upande wa Zanzibar, rais wa JMT, VP, PM, Bunge la JMT na Mahakama Kuu ya JMT is nothing in Zanzibar!, Zanzibar wamejitangaza kuwa ni nchi. Kwenye rasimu ya Katiba ya Warioba ikaamuliwa twende kwenye serikali 3. Rasimu hiyo ilipofika Bunge la Katiba, CCM ikatugezia kibao!, nikatoa Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!. Katiba pendekezwa ikatoka, mchakato ulikuwa ukamilike awamu ya kwanza ya JPM, akaigomea kwa kusema katiba sio kipaumbele chake, ndipo VP wake Samia, akatoa rukhsa watu waujadili muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

P
Baada ya October 29 utaifa na mjadala wa Muungano umeibuka kwa kasi na sasa ni Ajenda ya maandamano yajayo, yakifanyika hata kidogo kukawa na na mabango ya kutaka Tanganyika, italeta hisia mpya kabisa kwenye siasa za Muungano
 
Mimi najiuliza tu;
Kama kwa visiwani wao ni Wazanzibar na wanaserikali kamili yenye Raisi, mawaziri, wabunge nk
Kwa nini kwa upande wa bara nako wasiwe waTanganyika na serikali yao halafu kukawa na serikali ya shirikisho?
Yaani ukiwa bara ukajiita Mtanganyika unaonekana kama umetenda kosa la Jinai ILA wazanzibar wao wapo huru kujiita wazanzibar na hata kujitangaza kimataifa kama wazanzibar na sio Watanzania. Huoni kama kuna kitu hakipo sawa?
Tanganyika haina mwenyewe.
Na ndio maana watu wajinga wajinga kama Mzanzibari Simai wanaweza kutoa uharo wao hata Bunge letu Tukufu na hawafanywi lolote.
 
Paskali, Pascal Mayalla, I am sure that's not you!!!!
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , kumbe wewe hutujui Wasukuma tukipenda!,
This is me
and this is my true story Enyi Waume, Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 asubuhi!-Bado Nampenda!

Na hii ni scenario ya huu muungano wetu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

Tena sio mimi tuu, we hujawahi sikia story fulani ya Chifu Burito na mambo ya kupenda? Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?

Mkuu namjua Jidu kuwa ni msukuma pori, tena wa huko Ngudu!
Sidhani kama anaweza kukubaliana nawe katika suala hili.

Naungana na Jidu kwa kusema kuwa nchi imefitinika.
Watu wasio waTanganyika wanainyonya literally Tanganyika dry.
Si kitu cha kujivunia hicho.
Walati vijana wetu wanaomaliza vyuo vikuu, wakuu wa wilaya ni Wazanzibari, wakurugenzi wa Halmashauri zetu wazanzibari.
Kama huamini nenda Kinondoni.
Wapi na wapi?
Fedha zetu zinaenda kusiko, lini fedha za Zanzibar zikajenga hata hospitali huku Bara?
Utacheka na kukubali situation hii?
Usipoelewa hili basi unajikuta kuwa ni fala la mjini.
 
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , kumbe wewe hutujui Wasukuma tukipenda!,
This is me
and this is my true story Enyi Waume, Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 asubuhi!-Bado Nampenda!

Na hii ni scenario ya huu muungano wetu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

Tena sio mimi tuu, we hujawahi sikia story fulani ya Chifu Burito na mambo ya kupenda? Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
P
Mkuu nikiri kuwa sijakuelewa!
Unajaribu kuififisha mada iliyo mbele yetu kiaina!
 
Nimesitushwa kuwa Tshs 50billion fedha za kutoka Bara ndio zinajenga uwanja wa AFCON Zanzibar, wakati huku mabarabara yana mashimo kibao nchi nzima.
CCM imekaa kama mfu!
Mkuu Maso, masopakyindi , unashitushwa nini?, hujui kupenda wewe?, mara ngapi sisi wanaume, una mu entertain demu, huku nyumbani kwako kuna hali ngumu?
Zanzibar ni kama mke, mara ngapi unajenga kwa wakwe kabla ya kwenu?.
Kwa taarifa tuu, Tanzania mbale ya Zanzibar, ni tunawapenda kwa penzi mshumaa, unamulikia wengine huku kwako unateketea, au penzi mama maboga, anasuka sana mikeka, lakini watoto wake wanalala chini!.
Kwa vile hakuna elimu yoyote kwa umma inayofundishwa kuhusu huu muungano wetu, Zanzibar ina haki zote za JMT kama sehemu nyingine yoyote, over and above ule mgao wake wa asilimia 4.5% ya mikopo yote na fedha za misaada ya wafadhili.

Sijui tuna wanaume wa aina gani siku hizi unamuonea wivu mke wako kumpendezesha?

P
 
Kwani hoa wazanzibery wako wangapi kwenye mkoa wao naona kama wanatuchosha tuu🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Basi niambie tu
Mke wako ana kusanya na kulipa kodi?
Mkeo ana pelka pelka fedha kwa kificho kwa mahawara zake?
Mke anajenga hospitali na mabarabara
Mkeo kawaida ya kupeleka pesa kusiko julikana?
Mbaya zaidi mkeo ana kawaida ya kuwatesa, kuwateka na kuwaweka ndani watu?
Mkeo ana tabia ya kuwa na mahusiano nje ya makubaliano na watu wengine?
Mkeo anaua tu bila huruma na ukimuuliza atakwambia we mzee una drama?
Mkeo ana tabia y ya kukucharaza bakora hadharani au kutumia mawifi zako kukuita Yuda Msaliti

Kama huyondo mkeo nawe unaridhika naye ije mvua lije jua , basi nikupe pole tu!
 
Ntu yeyote anafikiri suruhu yeye ni kutengana ni Donat yake
 
Back
Top Bottom