Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Muungano unalindwa na wazalendo wote wa kweli wa JMT.Nyie mnaoilinda ni akina nani ikiwa Kuna Waziri anatimua Watanganyika
P
Muungano unalindwa na wazalendo wote wa kweli wa JMT.Nyie mnaoilinda ni akina nani ikiwa Kuna Waziri anatimua Watanganyika
Naelewa vema kwa situation hii wazanzibar wanalazimishwa kuishi kweny muungano lkn wao hawatak kbs, Noted 📌!! NB: Hapo kweny... Huyu mama anaongea vizur kwa unyenyekevu huchoki kumsikiliza 🤣🤣🤣Nalemaga!!Enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa kulikuwa hakuna kuhoji. Enzi za Nyerere kuliibuka kundi la G-55 wakahoji Muungano na Bunge kupitisha Azimio la kuundwa serikali ya Tanganyika, PM akiwa JSM, Nyerere alikasirika sana, JSM na wabunge, wakagombezwa kama watoto, wakanywea. Vuguvugu la kuhoji muungano likaibuka tena 2010 wakati Zanzibar walipopitisha mabadiliko ya katiba yao na kuuvunjilia mbali muungano kwa upande wa Zanzibar, rais wa JMT, VP, PM, Bunge la JMT na Mahakama Kuu ya JMT is nothing in Zanzibar!, Zanzibar wamejitangaza kuwa ni nchi. Kwenye rasimu ya Katiba ya Warioba ikaamuliwa twende kwenye serikali 3. Rasimu hiyo ilipofika Bunge la Katiba, CCM ikatugezia kibao!, nikatoa Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!. Katiba pendekezwa ikatoka, mchakato ulikuwa ukamilike awamu ya kwanza ya JPM, akaigomea kwa kusema katiba sio kipaumbele chake, ndipo VP wake Samia, akatoa rukhsa watu waujadili muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
P
Kumbe hata India ni YETU!Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
Kitakachofanya Muungano usivunjike, ni kwasababu visiwa vya Zanzibar na Pemba ni sehemu ya Tanganyika, miaka milioni nyingi, mmomonyoko wa bahari ukavimega na kuvitenga lakini ni mali yetu kama nilivyoeleza hapa Zan_Exit iwe agenda ya upinzani Zanzibar
unaweza kushuhudia jinsi Zanzibar ilivyomegeka kutoka Tanganyika!.View attachment 3603685
P
AiseeBandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
Inaumiza sana hii.Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Hapana, yale mapande makubwa, yenyewe yanajitegemea, vya kwetu ni vile visiwa vya karibu yetu, ikiwemo Comoro, Cyprus na Madagasca.Kumbe hata India ni YETU!
👊
Actually mimi ningependa binadam tukawa taifa moja na kujaliana bila mipaka! ... NATIONALISM COUPLED WITH CAPITALISM IS TOO COSTLY FOR THIS PLANET ... CAN'T AFFORD THEM IN THE LONG RUN!Hapana, yale mapande makubwa, yenyewe yanajitegemea, vya kwetu ni vile visiwa vya karibu yetu, ikiwemo Comoro, Cyprus na Madagasca.
P
Sii kweli, wasiotaka ni hawa walowezi vizalia vya wale wavamizi, lakini Wanzanzibari wenyewe hali, wenye Zanzibar yao, wanajua sisi ndio ndugu zao halisi na wanaupenda muungano, tatizo walowezi wamekuwa wengi, wamezaliana kuliko wenyeji, na kwa vile wamezaliwa Zanzibar, wengi wao hawajui kuwa wao ni walowezi tuu, wanajijua Zanzibar ni yao, kumbe hao ni watu wa kuja tuu, wenye Zanzibar yao wapo!.Naelewa vema kwa situation hii wazanzibar wanalazimishwa kuishi kweny muungano lkn wao hawatak kbs,
Yes it was then kabla hajapata power she was very humble, baada ya kupata powers, power corrupts, sasa ameota mapembe na kuchomoa makucha!, rangi zake halisi ndio zile za October 29 "mlitaka tutumie nguvu ya kiasi gani?"Noted 📌!! NB: Hapo kweny... Huyu mama anaongea vizur kwa unyenyekevu huchoki kumsikiliza 🤣🤣🤣Nalemaga!!
Kumpa pesa Mchunaji ndio kumshukuru Mungu?.Nitatoa shukurani kanisani na fungu lakumi elfu tano kwa mwezi nitamshukuru sana Mungu
Kero nyingine hii hapaKero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Mbaguzi huyo, kwa kauli hiyo basi hata maghorofa ya Ilala yatazamwe upya maana mengi siyo ya wazaramo
Naunga mkono hoja ✔️Sii kweli, wasiotaka ni hawa walowezi vizalia vya wale wavamizi, lakini Wanzanzibari wenyewe hali, wenye Zanzibar yao, wanajua sisi ndio ndugu zao halisi na wanaupenda muungano, tatizo walowezi wamekuwa wengi, wamezaliana kuliko wenyeji, na kwa vile wamezaliwa Zanzibar, wengi wao hawajui kuwa wao ni walowezi tuu, wanajijua Zanzibar ni yao, kumbe hao ni watu wa kuja tuu, wenye Zanzibar yao wapo!.
Yes it was then kabla hajapata power she was very humble, baada ya kupata powers, power corrupts, sasa ameota mapembe na kuchomoa makucha!, rangi zake halisi ndio zile za October 29 "mlitaka tutumie nguvu ya kiasi gani?"
Watu 518 wamekufa, hakuna pole, hakuna samahani, hakuna hitma wala matanga!.
Angalia vifaranga wao, wamefikia kumtusi VP wa JMT kumuita Yuda ndani ya Bunge la JMT!, ni dharau ya kiasi gani hii?.
P
Huyu candy candy 🤔🤔🤔 na picha kumefanana na candy wa ubungo milk 🤔🤔Nitatoa shukurani kanisani na fungu lakumi elfu tano kwa mwezi nitamshukuru sana Mungu
Uzalendo hsuna maana uwe fala wa kulizwa kila siku.Muungano unalindwa na wazalendo wote wa kweli wa JMT.
P
Analysis nimeipenda.Sii kweli, wasiotaka ni hawa walowezi vizalia vya wale wavamizi, lakini Wanzanzibari wenyewe hali, wenye Zanzibar yao, wanajua sisi ndio ndugu zao halisi na wanaupenda muungano, tatizo walowezi wamekuwa wengi, wamezaliana kuliko wenyeji, na kwa vile wamezaliwa Zanzibar, wengi wao hawajui kuwa wao ni walowezi tuu, wanajijua Zanzibar ni yao, kumbe hao ni watu wa kuja tuu, wenye Zanzibar yao wapo!.
Yes it was then kabla hajapata power she was very humble, baada ya kupata powers, power corrupts, sasa ameota mapembe na kuchomoa makucha!, rangi zake halisi ndio zile za October 29 "mlitaka tutumie nguvu ya kiasi gani?"
Watu 518 wamekufa, hakuna pole, hakuna samahani, hakuna hitma wala matanga!.
Angalia vifaranga wao, wamefikia kumtusi VP wa JMT kumuita Yuda ndani ya Bunge la JMT!, ni dharau ya kiasi gani hii?.
P
Utajua mwenyeweKumpa pesa Mchunaji ndio kumshukuru Mungu?.
Hayo uliyotaja yanahusikaje na Muungano na kero zake? Kukorisha Bandari Kuna tatizo gani?Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
mbona cyprus na madagasca ni mbali mno, labda comoro, maana comoro kuna uswahili wa kizanzibari paleHapana, yale mapande makubwa, yenyewe yanajitegemea, vya kwetu ni vile visiwa vya karibu yetu, ikiwemo Comoro, Cyprus na Madagasca.
P