masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kero zimezidicha msingi tuandae utaratibu wa uraia pacha tu. wazanzibar walio bara ambao hawatapenda kurudi kwao wapewe uraia wa nchi mbili, halikadhalika watanganyika walioko huko zanzibar. tuachane kwa amani
Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
siku nitakaporudi tanzania rasmi na kugombea uraisKero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Tuuenzi Muungano kwa kutekeleza misingi yake na kutouchukulia poa kama tunavyoona sasa.Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Zanzibar ni kero ya Muungano.Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Nitatoa shukurani kanisani na fungu lakumi elfu tano kwa mwezi nitamshukuru sana MunguKero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Vipi kuhus misingi ya muungano? Au hakuna kuhoji jibu ni kuuenzi tuu.....Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Naunga mkono hoja ✔️Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari ya Zanzibar inaendeshwa na wenyewe SMZ, kunani?
2. Sina haja ya kurudia madudu ya Okt 29, ambapo Amiri Jeshi Mkuu alileta vikosi Bara
3. Nafasi za kazi zisizo za Muungano zinajazwa na Wazanzibari , wakati Zanzibar ina serikali yake
4. Fedha za kodi kutoka Bara kwenda kutumika katika miradi ya Serikali ya Zanzibar
Zipo kero nyingi zaidi lakini hizo ndio naziona wazi wazi.
Je, muungano ukivunjika itakuwaje?
Wazanibari, itabidi wajitegemee, na warudi makwao, vile vile waTanganyika walioko Zenj itawalazimu kurudi Bara.
Hivyo walio uongozini walitambue hili, hakuna anayependa utengamano, lakini kero zisipotatuliwa, kila mtu atapenda eventuality ya kujinafasi wenyewe kuliko kuendekeza kero.
Kila mmoja itabidi abebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa wasiojua Zanzibar ina matatizo yaliyojificha na hayaonekani wazi wazi, Matatizo haya yatajitokeza pale Muungano utakapovunjika.
Yaliyotokea 1964 itakuwa cha mtoto.
Maoni please!
Ili iweje?Mkuu Maso, masopakyindi , Huu muungano wetu adhimu na adimu, kamwe hauwezi kuvunjika kwasababu ni muungano wa milele, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Ili udumu milele!, Zanzibar ni sehemu halali ya bara, hivyo ni sehemu yetu na tutailinda kwa gharama yoyote!.Ili iweje?
Nyie mnaoilinda ni akina nani ikiwa Kuna Waziri anatimua WatanganyikaIli udumu milele!, Zanzibar ni sehemu halali ya bara, hivyo ni sehemu yetu na tutailinda kwa gharama yoyote!.
P
Enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa kulikuwa hakuna kuhoji. Enzi za Nyerere kuliibuka kundi la G-55 wakahoji Muungano na Bunge kupitisha Azimio la kuundwa serikali ya Tanganyika, PM akiwa JSM, Nyerere alikasirika sana, JSM na wabunge, wakagombezwa kama watoto, wakanywea. Vuguvugu la kuhoji muungano likaibuka tena 2010 wakati Zanzibar walipopitisha mabadiliko ya katiba yao na kuuvunjilia mbali muungano kwa upande wa Zanzibar, rais wa JMT, VP, PM, Bunge la JMT na Mahakama Kuu ya JMT is nothing in Zanzibar!, Zanzibar wamejitangaza kuwa ni nchi. Kwenye rasimu ya Katiba ya Warioba ikaamuliwa twende kwenye serikali 3. Rasimu hiyo ilipofika Bunge la Katiba, CCM ikatugezia kibao!, nikatoa Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!. Katiba pendekezwa ikatoka, mchakato ulikuwa ukamilike awamu ya kwanza ya JPM, akaigomea kwa kusema katiba sio kipaumbele chake, ndipo VP wake Samia, akatoa rukhsa watu waujadili muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikilizaVipi kuhus misingi ya muungano? Au hakuna kuhoji jibu ni kuuenzi tuu.....