Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

Naelewa vema kwa situation hii wazanzibar wanalazimishwa kuishi kweny muungano lkn wao hawatak kbs, Noted 📌!! NB: Hapo kweny... Huyu mama anaongea vizur kwa unyenyekevu huchoki kumsikiliza 🤣🤣🤣Nalemaga!!
 
Kumbe hata India ni YETU!
👊
 
Hapana, yale mapande makubwa, yenyewe yanajitegemea, vya kwetu ni vile visiwa vya karibu yetu, ikiwemo Comoro, Cyprus na Madagasca.
P
Actually mimi ningependa binadam tukawa taifa moja na kujaliana bila mipaka! ... NATIONALISM COUPLED WITH CAPITALISM IS TOO COSTLY FOR THIS PLANET ... CAN'T AFFORD THEM IN THE LONG RUN!
 
Naelewa vema kwa situation hii wazanzibar wanalazimishwa kuishi kweny muungano lkn wao hawatak kbs,
Sii kweli, wasiotaka ni hawa walowezi vizalia vya wale wavamizi, lakini Wanzanzibari wenyewe hali, wenye Zanzibar yao, wanajua sisi ndio ndugu zao halisi na wanaupenda muungano, tatizo walowezi wamekuwa wengi, wamezaliana kuliko wenyeji, na kwa vile wamezaliwa Zanzibar, wengi wao hawajui kuwa wao ni walowezi tuu, wanajijua Zanzibar ni yao, kumbe hao ni watu wa kuja tuu, wenye Zanzibar yao wapo!.
Noted 📌!! NB: Hapo kweny... Huyu mama anaongea vizur kwa unyenyekevu huchoki kumsikiliza 🤣🤣🤣Nalemaga!!
Yes it was then kabla hajapata power she was very humble, baada ya kupata powers, power corrupts, sasa ameota mapembe na kuchomoa makucha!, rangi zake halisi ndio zile za October 29 "mlitaka tutumie nguvu ya kiasi gani?"
Watu 518 wamekufa, hakuna pole, hakuna samahani, hakuna hitma wala matanga!.

Angalia vifaranga wao, wamefikia kumtusi VP wa JMT kumuita Yuda ndani ya Bunge la JMT!, ni dharau ya kiasi gani hii?.
P
 
Kero nyingine hii hapa
 
Naunga mkono hoja ✔️
 
Analysis nimeipenda.
Kina Simai ni masalia ya wa zomsni.
Wengi wao ni Hizbu.
CCM wamejiingiza kwenye matatixo kichwa kichwa, na wameingiza nchi katika matatizo.
Wanajitapa wazi wazi sasa kuwa wana ndugu Oman, na sisi huku kijinga kabisa tumewapa nchi.
Sasa wanatutukana NDANI ya vyombo tulivyo wakaribisha.
 
Ila Nyerere alitukosea sana. Yani kanchi kadogo kenye wananchi laki tano tu ndo tuungane nao sisi tuliojazana 64M+ na ushee? Unaunganisha nini hapo badala ya kufanya kuwa mkoa?.
 
Hayo uliyotaja yanahusikaje na Muungano na kero zake? Kukorisha Bandari Kuna tatizo gani?
 
Muungano uvunjike halafu usalama wa Tanganyika utetereke? Maana magaidi ya kiislam yatakita kambi pale kuleta shida. Usultan utarudi kwa kasi ya ajabu na kusababisha upemba na unguja kuonekana wazi japo wote wanaamini dini moja ya kiislam, hayo ndiyo matatizo ya zanzibar yaliyojificha kwa kufubazwa na Muungano wa Tanganyika na zanzibar
 
Mtu chake; iweje mnaruhusu vya kwenu kuchukuliwa na wengine?
Huu ukomo wa kukopa ukifika tutajilaumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…