Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

tulipofikia tuuvunje tu kwakuwa unatutia hasara na hasira kubwa achilia maumivu ambayo jamii haitakaa isahau maisha yake yote. Wameshalilia wembe nafikiri tuwape Mapanga yatawafaa zaidi kwakuwa hawatajichanja tu kidole bali wataweza kukatana shingo nafikiri hii inafaa zaidi.
Kwa bahati mbaya historia ya Zanzibar inasemwa zaidi kipindi cha waarabu haizungumzi sana kabla ya waarabu wa kwa ajili ya kujikomba kwetu kwa waarabu watawala hawako tayari ukweli usemwe. ila kwa kifupi mauaji kwa kisiwa hicho si jambo la ajabu sana kwakuwa hata wakazi halali wa kisiwa hicho waliuwawa waliobaki ni wazaliwa walio ingia zanzibar kwa watumwa au watoto waliozaliwa kwa watumwa kubakwa na waarabu.
hivyo sehemu kubwa wamejaa visiwa vimejaa watu wenye maumivu ya ndani balaa huku wakijenga roho za kisasi hivyo ni swala la muda tu mtego utafyetuka na safari hii mtego wa panya hautanasa panya bali tembo! ndipo tutakapokubali kuwa kuna wakati ni kweli mende aweza jitwisha kabati.
furaieni kutuua, kubaka na ufiraji unaoendelea lakini kiama chaja muda utaamua.
 
cha msingi tuandae utaratibu wa uraia pacha tu. wazanzibar walio bara ambao hawatapenda kurudi kwao wapewe uraia wa nchi mbili, halikadhalika watanganyika walioko huko zanzibar. tuachane kwa amani
awapi warudi tu kwao kwakweli
 
Muungano ukivunjika tutakuwa nchi moja tu hakutakuwepo serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.Kuuvunja huu Muungano sio kazi Nyepesi hivyo wazanzibar wanaongea sana wakati huu kwa kuwa tupo kwenye mpito tu.
 
Muungano ukivunjika tutakuwa nchi moja tu hakutakuwepo serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.Kuuvunja huu Muungano sio kazi Nyepesi hivyo wazanzibar wanaongea sana wakati huu kwa kuwa tupo kwenye mpito tu.
WaZanxibari ni kidomidomi, bora wakae peke yao.
 
Kama bahari iliamua kuwatenga, sisi ni nani tuwang'ang'anie?

Ipo siku muungano utavunjika, na nitaenda kukojoa baharini kama ishara ya kuwakojolea wazanzibary wote.
 
Mbona huu muungano mnaupamba upamba sana tuwe wakweli huu muungano hauna faida Kwa pande zote na uvunjwe Nyerere alikuwa Kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…