Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Jamani nyumba za kupanga zina shida sana.

Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbani kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni

Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
 
Halafu ukute watoto wamama nyumba ya urithi wanakaa hapo kuanzia asubuhi mpaka jioni wapo kibarazani
Na kwenye makorido, hawana shuguli ya kufanya wao akili yao kodi tu
Hapo shuguli lazima
Kama baharia kuingiza dem ni mtihani

Ova
 
wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbni kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni
kobys-smile.png

Karibu Daleslaama 😆😁
 
Jamani nyumba za kupanga zina shida sana.

Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbni kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni

Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
Sasa si umependa mazoea nao ,kula kimasihara 😅😅
 
Nakumbuka nikiwa napanga nilikuwa nawaletea pigo mpaka wanakoma kuna siku niliwaomba jamani mnapokaa basi kaeni pembeni kidogo ya mlango wangu ili ninapotaka kutoka sio naanza kuwasubiri mnyanyuke ndo nipite wakawa hawaelewi skumoja nkaweka kitu cheusi kama hirizi kwenye zulia la mlangoni walipokaa wakakiona wakakaa mbal na mlango wangu na ili niwafukuze koridoni nikaenda nunua chumvi ya mawe na udi wa kuchoma nkasubiri wamepika wamemaliza nkawaomba jiko la mkaa nkaongeza mkaa nkaingia nalo chumbani nkaweka chumvi za mawe na udi basi zikawa zinalipuka pa pa pa na moshi kibao bas wakawa hawakai tena koridoni .
Na kuna nyumba nilikua namshika jiran mkono namvuta geto namla mpka akaacha kukaa karibu na mlango wangu.
 
Dawa nzuri ya kuishi uswahilini usiongee na mtu au kupiga naye story yoyote hasa wavuta bangi na Malaya Kama ao

Hizo ndo principle zangu juzi hapa Kuna watu wamekamatwa Kama panya road kisa tu wapo closed na wavuta bangi

Usikubali kumzoea Mtu yeyote Kuanzia watoto wazee Hadi wamama na mababu
 
Mianzini na kwakopa moja iyo.. Bado kwa mama Zakaria [emoji23]
Htr sana,mlango wa kuingia wanakaa kuanzia asubuhi mpaka jioni...
Kuna mwamba mmja namjuwa alipanga kukawa nanuswahili wa watoto wa kike wa mama mwenye nyumba,ase mwamba alifanya mkakati aka pitia mama mwenye nyumba jamaa akawa kama faza house

Ova
 
Jamani nyumba za kupanga zina shida sana.

Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbni kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni

Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
Aiseh mim nyumba ya namna hyo siwez kuishi kabisa. Bora nipambane nipigane nipate nyumba ambayo haina mambo hayo niishi na amani
 
Back
Top Bottom