wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ingia choooooni harisha kishenzi yaani Ile kishenzi hadi hao wakina mama wakiwa hapo nje wasikie vzr,sio masuala ya unaingia kuharisha afu unaanza kuvuta Vuta ndoo ili eti usisikike Kama unaharisha.