KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

mimi huwa namkakati wangu nikiamua kupanda usafiri wa umma huwa napambana nikae siti ya mbele opposite na driver. Kisha nafungua apps zangu naanza kusoma.
Yanayoendelea huko nyuma sijali.
Kweli watu tunatofautiana.
Mimi kukaa mbele siwezi kabisa sipendi na pia hua naogopa naona kama kifo hiki hapa. Hapo sijui huko mbeleni nikibarikiwa usafiri binafsi itakuwaje.
Hata nikute mbele kwa dereva hakuna mtu sikai hata konda anifungulie huwa sikai.
 
Basi ile huwa ni my best siti.
Hasa mikoani kwenye safari ile Panorama view nzuri sana.
 
Kero kwenye daladala ni nyingi lakini sio muhimu kwa wahusika kuzirekebisha kutokana na nature ya kazi yenyewe.

Lakini kero hizo hizo na ziada, yaani za kupiga miziki kwa kelele na hata kucheza video za nusu uchi, zinapatikana kwenye manasi makubwa ya mikoani, jamani! Serikali, kama ina watu wa kufuatilia maadili, itakuwa imeshaona.

Sisi tunakerwa sana lakini hatujui cha kufanya na hela zetu tunalipa na kukerwa wanatukera!
 
Kero zipo nyingi sana aisee,Ila mimi iliyoniudhi zaidi kuliko zote,ni ile siku niliyokuwa natoka picha ya ndege kwenda maili moja(kibaha), kwenye siti niliyokuwa nimekaa pemben yangu kulikuwa na mdada pisi kali kinoma kifuani bado saa 6 akiwa na mtoto mdogo,basi mdada akawa anamnyonyesha mtoto wake,dogo ananyonya kidogo anaacha,basi mdada akamwambia yule dogo(nimesahau jina lake kidogo)"nyonya,kama hutaki nampa anko anyonye", dogo aliposikia hivyo akanyonya tena kidogo akaacha,mdada akamwambia tena vile vile dogo akanyonya tena kidogo akaacha, utaratibu ukawa ni ule ule huku safari ikiendelea. Lahaula,kuja kushtuka,tumeshafika mbezi mwisho halaf bahati mbaya nilichotarajia kukipata sikukipata. Dah, ilikuwa siku mbaya sana kwangu,nimepitiliza kituo na nimekosa kumnyonya mtoto mzuri.
 
Masikini tunagawana umasikini wetu maana anayelanguliwa tiketi ya basi unakuta naye ni mhudumu katika sekta zingine ambaye keshawalangua wateja wake huko!

Tuizoee hii hali kutokana na taifa kuwa masikini raia nasisi lazima tuwe masikini pia! Wakubwa wanakwapua vikubwa na wadogo wanakwapuliana vidogo pia.
 
Mm hua nachukia kukaa siti moja na mama juniors. Unakuta nmenunua zangu kiepe na nyama najilia Mara junior ananipokonya nyama na mbaya zaidi mama junior Hana habari na kitendo hiyo. Na akijitahidi sana atasema junior utammalizia anko nyama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tafuta hela mkuu ununue ya kwako kero haziwezi kumalizika kamwe ndo maana ikaitwa public transport
Public Transport sio lazima iwe na kero, ukifika mataifa yaliyostaarabika zaidi ndio utaelewa vizuri.
 
Hakika Mimi nilikutanaga nayo ferry kigamboni magari ya kwenda cheka popote pale unaposhukia nauli ni buku mjimwema buku, kibugumo buku, gezaulole buku 🤣🤣🤣mpaka mwisho wa gari buku huwezi amini nilipanda utafayaje Sasa ila nilikasirika sio Siri😀😀😀😀
 
Ili ujue adha ya magari lazima uyapande, sasa hivi bara bara mpya haina miundombinu ya kuegesha daldala na bajaji kushusha abiria. Tuiulize Serikali vituo vya kuegesha daladala wakati zinashusha abiria viko wapi ? Serikali imeviondoa bajaji na daladala zisimame wapi ? Ukitaka usawa kua msawa kwanza matatizo haya yanasababishwa na wahusika. Haijalishi ni changamoto ya aina gani na niusafiri wa aina gani kabla hajalaumu wahudumu mjue kabisa kuna wahusika na ndio wanaweza kukupa ufafanuzi muhudumu utamtia hasira tu kwa sababu anaziona changamoto ni zilezile kila siku, na ninyi mnao walaumu si kwamba hamjui wahusika ila nikutaka kutafuta vita kati ya maskini kwa maskini. SUMATRA, nani anamuhoji SUMATRA dhidi ya vibali wanavyotoa ? Angalieni Morogoro RD ilivyo na foleni ?. Nani anamuhoji RATRA na maegesho bubu ? Nani anamuhoji Dart na miundombinu ?


Tunapoteza muda wakati wahusika tunawajua wawekwe kikaangoni watuambie shida iko wapi.
Shida sisi watanzania waliowengi wanapenda unafiki na majungu ndio maana hatuwezi tatua shida muhimu. Tunashambulia makondakta na madereva wahusika hatuwaoni. Tunalaumu mwendokasi hawana chenji je, kwenye Treni Chenji wanazo ??? Tuache unafki na kujifanya tunajua sana. Wapinzani waliona njia pekee ni katiba mpya haya mmebebana wasomi mtengeneze katiba mpya badala yake mmekua kama form one, ndani ya chuma kimoja wasomi wote mmeonekana sifuri hakuna katiba mpya wala chochote kilichoendele kazi kula kodi zetu tu.


Tunaweza tukufanya mambo katika field way lakini tukikaa ofisini tukaaply tulio yasoma ni sifuri hatuta songa mbele.


Wakuu na viongozi wa organization mbali mbali njooni field tunaweza kutengeneza solutions za kueleweka.


Asubuhi njema.
 
Wakati unataka kupanda hiyo daladala kuna swali tu la kujiuliza kama hauna gari na una ndoto za kumiliki gari kisha utapata jibu safi na hutalalamika tena! Hivi ungekuwa na gari lako binafsi ungetumia mafuta ya bei gani kutoka hapo kituoni kwenda kwako maana kuna wakati hutakiwi kutumia wingi tumia umoja ili uajibike kama wewe kama hautanielwa na una ndoto ya kumiliki gari basi wewe achana na hayo mawazo endelea kulalamika na muda unakwenda.
 
Hata mi nimwahi kataa kushuka kwani tulibaki abiria wachache.
Na kumbuka kuwa unapomrudisha abiria alikotoka inamaana ya kwamba umemuongezea safari.
So dereva alikwenda Lacap
 
Mbada ilikuwa kuweka usafiri wao, lakini hiyo siyo sahihi ni unyanya paa. Kitu Cha msingi nikuweka utaratibu mzuri kwenye vituo, watu waingie kwa kufuata utaratibu maalumu aliye wai awai kuondoka vivyo kwa aliye chelewa pia (hii inawezekana kwa kuweka usimamizi kwenye vituo korofi).
 
Hakuna kitu sikipendi barabarani ikiwa taa ya kukuongoza imewaka mtu wa mbele yako gari yake imezima na anaangaika kupiga starts haiwaki mara taa ya njano unakuta imewaka
 
Kero yangu ni watoa huduma za dalaldala utingo wengi wao wamekuwa na mvazi machafu ambayo yanaleta kero kwa abiria, lakini pia madereva ambao wanapenda kupiga honi za gari ovyo ovyo bila sababu za msingi na kuleta kero kwa abiria na watumiaji wengine wa barabara!

Ninatoa rai kwao waweze kuacha kwani inaweza kuleta madhara ikiwemo ajali kwa upande wa upigaji wa honi ovyo kwani mtu anaweza kushtuk na kukimbili upande ambao gari limeelekea na kupatwa na ajali lakini pia utingo wajitahid kuzifua sare zao za kazi ili kuleta ufanisi kwenye kazi zao na kwa abiria kwa ujumla.
 
Mm hua nachukia kukaa siti moja na mama juniors. Unakuta nmenunua zangu kiepe na nyama najilia Mara junior ananipokonya nyama na mbaya zaidi mama junior Hana habari na kitendo hiyo. Na akijitahidi sana atasema junior utammalizia anko nyama
🤣🤣😂🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…