KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

Sijajua ni kwa nini wanajamba bila aibu japo hujamba wakidhani hawatatambulika aliyejamba ni nani. Niliudhika sana kunusa harufu ya kijambo na sikumjua aliyejamba ni nani kati ya abiria niliokaa nao
 
It
Mko poa wakuu?
Nimekua nikisafiri mara kwa mara na mabasi yanayotoka mbeya kuja dar.
Kila nikipanda basi za huko ni kawaida kwa mtu kuachia zile shuzi za kimya kimya na harufu mbaya kusambaa ndani ya basi.
Hivi hii inatokana na nini wakuu?
Itumie kama fursa......
 
Mko poa wakuu?
Nimekua nikisafiri mara kwa mara na mabasi yanayotoka mbeya kuja dar.
Kila nikipanda basi za huko ni kawaida kwa mtu kuachia zile shuzi za kimya kimya na harufu mbaya kusambaa ndani ya basi.
Hivi hii inatokana na nini wakuu
Mwenye afya ya mgogoro hana nguvu ya kujamba.
 
Mimi huwa namkakati wangu nikiamua kupanda usafiri wa umma huwa napambana nikae siti ya mbele opposite na driver. Kisha nafungua apps zangu naanza kusoma.
Yanayoendelea huko nyuma sijali.
Dereva na konda ni walewale kina mwambukusi.
Wanajamba pia,tena chao kimekolezwa na nyagi na safari+ mabhifu,mbalagha,maharage na takapela weeeh.
 
Back
Top Bottom