KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

Mko poa wakuu?
Nimekua nikisafiri mara kwa mara na mabasi yanayotoka mbeya kuja dar.
Kila nikipanda basi za huko ni kawaida kwa mtu kuachia zile shuzi za kimya kimya na harufu mbaya kusambaa ndani ya basi.
Hivi hii inatokana na nini wakuu?
Yaani kujamba inatokana na nini?
 
πŸ˜„ πŸ˜„

Ngoja waje wenyewe

Ova
 
Nimeona huu uzi haraka nikamfikiria Lucas Mwashambwa

Bora umenisanua, siku nikienda Mbeya nabeba barakoa za kutosha. Harufu ya vijampo hua inanisumbua sana naweza kutembea natema safari nzima.
 
Wanashiba sana kabla ya safari yao kuanza wanakula sana wale watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Uzuri wa sisi wa kaskazini hatuli asubuhi mpaka pale mombo......πŸ˜…
 
njue huko nyanda za juu kusini kuna watu wanene wameshiba sana ni mwendo wa yusufuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…