Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

Upo bar asubuhi yote hii? Kuna mpira gani hapo bar ulipo hivi sasa...!?
 
Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe.

Nendeni vibanda umiza.
Bar ikishaanza kuonyesha mpira tu, nasepa...yaan huwa wananikata sana, mtu umetoka nyumbani ukapige vyupa na mziki wanaanza kuzima mziki kisa mpira.
 
Hakuna kitu kinanikera kama hicho mie natoka zangu home nije nipige moja mbili na mziki mzuri nakuja bar kuna watu wanakunywa vi energy vya buku sijui jero vinalazimisha mpira. Neno langu huwa ni moja tu mnaweka mpira nihame au mnaendelea na mziki? hapo unakuta tuko kiringi mwenye bar anaweweseka tu....
 
😂😂😂😂maisha haya. wapo ambao starehe zao ni kuangalia mpira bar na sio vibanda umiza
 
''...vijana tunahitaji fursa...''🙂
🙂🙂🙂🙂
 
😂😂😂😂maisha haya. wapo ambao starehe zao ni kuangalia mpira bar na sio vibanda umiza
Sasa mtu hanywi bia hutaki mziki, kunywa iyo soda ya biku ndo starehe
 
Hakuna kitu kinanikera kama hicho mie natoka zangu home nije nipige moja mbili na mziki mzuri nakuja bar kuna watu wanakunywa vi energy vya buku sijui jero vinalazimisha mpira. Neno langu huwa ni moja tu mnaweka mpira nihame au mnaendelea na mziki? hapo unakuta tuko kiringi mwenye bar anaweweseka tu....
Bar gani hzo kuna energy drink

Unaendaga hivi vi pub mshenzi nini mkuu

Acha mara moja ukiwa kama mtoto wa kike na mlevi usalama wako huko unakuwa upo hatarini
 
Bar ikishaanza kuonyesha mpira tu, nasepa...yaan huwa wananikata sana, mtu umetoka nyumbani ukapige vyupa na mziki wanaanza kuzima mziki kisa mpira.
Mwanaume gani wewe unakimbia mpira, au ndio jamii ya Juma Lokole?
 
Hakuna kitu kinanikera kama hicho mie natoka zangu home nije nipige moja mbili na mziki mzuri nakuja bar kuna watu wanakunywa vi energy vya buku sijui jero vinalazimisha mpira. Neno langu huwa ni moja tu mnaweka mpira nihame au mnaendelea na mziki? hapo unakuta tuko kiringi mwenye bar anaweweseka tu....
Football is too powerful to avoid
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha haya. wapo ambao starehe zao ni kuangalia mpira bar na sio vibanda umiza
Mimi zamani nilikuwa napenda sana vibandaumiza, ila sikuhizi bar ndio mpango, ukiangalia mpira huku balimi zako 2 ziko kichwani au Kvant unasikia raha duniani[emoji1][emoji1]
 
Bar ambayo Kuna Kinywaji cha Jero, Always tegemea mambo kama hayo? Wakati mwingine ni vizuri kutafuta semi-classic pub, ambazo either huwa wanatenga Lounge na Bar, of which kama kuna Mpira basi wanagawana washabiki wa Bia na washabiki wa mpira.
Kweli, na hilo kujaa watu wa kunywa soda inatokea hasa kwenye hizi bar za mitaani, sio rahisi kuona bar za mjini
 
Back
Top Bottom