Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

Mimi zamani nilikuwa napenda sana vibandaumiza, ila sikuhizi bar ndio mpango, ukiangalia mpira huku balimi zako 2 ziko kichwani au Kvant unasikia raha duniani[emoji1][emoji1]
Nyie wanywaji sio tatizo maana mnaacha hela nyingi, tatizo mtu yupo bar masaa mawili soda moja ya buku anasema zimeni mziki
 
Ukiangalia vizuri mpira ni kama uchizi, watu 22 wanakimbiza mpira mmoja wakati mingine iko nje
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio inazalisha ajira nyingi zenye kipato kikubwa
 
Tehe,,sasa mkuu ndo mpaka uje kutumwaga huku jf,si tungekaa tu hukohuko bar tukayamaliza kiutu uzima.

Ila kuna kaukweli.
 
Mleta mada sio kila muangalia mpira ni mnywa soda. Jibu hilo hapo chini
Sasa mtu hanywi bia hutaki mziki, kunywa iyo soda ya biku ndo starehe
Safi mkuu. Furaha yako ndio mafanikio yako.
Mimi zamani nilikuwa napenda sana vibandaumiza, ila sikuhizi bar ndio mpango, ukiangalia mpira huku balimi zako 2 ziko kichwani au Kvant unasikia raha duniani[emoji1][emoji1]
 
Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe.

Nendeni vibanda umiza.
Ukiona hivyo jua wanaoangalia mpira wana nguvu. Nenda samaki samaki muziki hauzimwi hata uwe mpira gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…