B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
vipi tena mkuu
teh teh teh sijawahi kumtongoza huyu bibie hata siku moja.Mkiwa mnatongoza huko na hamna pesa msichafulie watu majina.
Udomo zege wako na ufukara wako umejichagulia mwenyewe.
Tayari ilikuwa saa 4 asubuhivp mda wa indavyuu bado?
Asante sana T14 ArmataInfantry Soldier nitafurahishwa sana ukifaulu oral interview. Nakuombea mafanikio
Ninashukuru sana mkuuAll the best ndugu......👏
Mwenyezi Mungu akutangulie....🤲
Acha hiyo yako ili uwe huru.Kheee situkikubaliana ajira ni utumwa
Mimi ni dereva Taxi tangu mwaka 2019 sema Bajaj ndio zinaleta upinzani na kufanya biashara kuwa ngumu.
Boss sina physical connection namekuombea Dua leo ufanikiwe, ukifanikiwa uniajiri na mimi.Mimi ni dereva Taxi tangu mwaka 2019 sema Bajaj ndio zinaleta upinzani na kufanya biashara kuwa ngumu.
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...www.jamiiforums.com
Niombee peke yangu kwa maana hao wengine hawajaomba msaada wa namna hii.Tunawaombea wote 9. Hakuna kufanya ubaguzi wa maombi kwa Mungu.
Thanks brotherBoss sina physical connection namekuombea Dua leo ufanikiwe
Niombee peke yangu kwa maana hao wengine hawajaomba msaada wa namna hii.
Huo uwezekano umeujulia wapi? Vp kama wao pia wapo humu JF lakini hawaamini katika nguvu za Mungu?Wewe tayari una ajira. Inawezekana wenzako hawana hata simu janja ya kuwawezesha kuingia JF.
Mm pia ilinitokea hii hadi HRM ananoambia karibu on board na haya ndio mazingira utakayokuwepo lol mwisho wa siku napokea email We regret to inform you,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2018 niliitwa pia kweny NGO moja hivi ipo kule ushuani
Nilifanya written interview na oral siku hiyo
Baada ya week mbili niliitwa tena kufanya Oral ikiwa ni ya Pili hii ukiacha ile ya kwanza hii ilijikita zaidi kweny taasis husika na bada ya interview nilipata nafas ya kufahamishwa miradi iliyo kua ikisimamiwa na hiyo NGo pia nilipata kufahamu taratibu zote za ofice husika na jamaa wali niambia kabisa kua we ndo mtu tunae kuhitaji kwa hiyo ume fit hii nafas nikapewa ahadi ya kupigiwa simu j3 nifike ofis husika na vyeti na ishu nyngnezo za kiofis bas nika ondoka pale nikiwa natumain kubwa kua ile kazi. Nime ipata na ukizingatia nili fanya vzur zile interview zote
Ajab j3 ilifika nikawa nasubiri sim yao naona kimyaaa
Nika subir mpka saa10 jion kimya na
Uzuri nilikua nime save namba ya alie niita interview ile ya kwanza bas nika mpigia j4 nakumueleza kua interview ya mwisho mli ahidi kunipigia j3 lakini haikua hivo na leo n j4 mbona kimya
Bas nilijibiwa subiri tuta kupigia kinyonge sana nili pokea ile kauli yake na kusema acha nisibir nika subir sasa yapata miaka 3 [emoji23][emoji23] nime ona huu uzi wako bas ndo ume nikumbusha ili tukio hili ..
kikubwa hii ili nifanya nikate tamaa ya kuajiriwa na zaidi tu nifocus na biashara zang mdogo mdogo najua ntatoboa