Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Worry outMinaamini Boss usinisaau ajira na Book
Mkuu nyie hamuweki barua kwenye zile bahasha z 50/= nlkiwah kutan no.. Barua n cv zmekunjwa mara 4Mshukuru Mola kwa kupata hata nafasi ya interview... Sie wengine hata interview za kufua mashuka kwenye guest houses hatupati
Asante sana kwa kunipa moyoAina noma boss ..mambo yataenda vizuri utapata kazi usihofu tena.
Msamehe bure tu huyoHii sio sahihi Soja amevunja Ego yake mpaka kuja hapa (kajishusha) inapaswa apandishwe pekeyake.
Mungu akutangulie.Asante sana kwa kunipa moyo
Ulifanikiwa? HongeraMsamehe bure tu huyo
Mkuu, mbona unaniuliza alafu kabla sijakujibu unanipa hongera?Ulifanikiwa? Hongera
Nimekosea kidogo, ilitakiwa ianze hongera kwa kuitwa intavyuu, then swali samahani....nimeiweka sawa haya nijibu.Mkuu, mbona unaniuliza alafu kabla sijakujibu unanipa hongera?
Mkuu, mbona unaniuliza alafu kabla sijakujibu unanipa hongera?
Kumuuliza mtu ndio jeuri? Mbona muhusika hajasema kama ni jeuri?Acha jeuri
Mrejesho nitawapa waliosimama na mimi katika maombi. Shetani alimwambia Yesu kama kweli wewe ni mwana wa Mungu basi geuza jiwe hili kuwa mkate na Yesu akamjibu nini?leta mrejesho ili tupime kama maombi husaidia.
Kwa kuwa mimi ni kilaza sana na nina IQ ndogo, Yes nilipigwa chini bossI can tell ulipigwa chini
Nikupe wewe neno la shukrani kwani ulinisaidia kuomba kwa Mungu?sijaona neno la shukrani.
Kama ilikuwa ni porojo au kweli hiyo ninajua mimi na Mungu wangu.Vinginevyo ilikuwa porojo tuuuuuu.
Nitakujibu PM mkuu kwa maana kuna baadhi ya members wa humu wameanza kunionesha roho mbaya na za husda kama huyo jamaa anayejiita Ncha Kali hapo juu.Nimekosea kidogo, ilitakiwa ianze hongera kwa kuitwa intavyuu, then swali samahani....nimeiweka sawa haya nijibu.
Haya sawa...Nitakujibu PM mkuu kwa maana kuna baadhi ya members wa humu wameanza kunionesha roho mbaya na za husda kama huyo jamaa anayejiita Ncha Kali hapo juu.
Kama ilikuwa ni porojo au kweli hiyo ninajua mimi na Mungu wangu.