Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Mi siku naenda kufanya interview ndo naanza aisee yaani written mama aliniita akanishika kichwa akaniambia mwanangu nakuamini ila ikitokea ukakosa usilaumu sio bahati yako kikubwa wamakuita wenyewe hapo tulikuwa buku kwa nafasi 40

Kaka akaniambia we ushapita tu nakuamini sidhani kama hautofanikiwa mi binafsi roho inaenda mbio kinoma halafu watu kibao wanajua mama alitangaza😂😂😂hofu ukirudi umefanikiwa ila nikapita mpaka kazini kwa uwezo wa allah
 
Back
Top Bottom