Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Kipengele ni pale uko Live unashangaa kingereza kinascratch
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
Hahaha hivi mkuu ukiulizwa unataka mshahara wa kiasi gani unatakiwa ujibuje? Na je ukitaja hela ndogo wanakulipa hiyo hiyo tu na vipi ukisema yoyote watakayoona wao inafaa?
 
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.

Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?

Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.

Kwa uzoefu wangu ...Ukiikamia Sana interview hutoboi.......

Just be calm,relax and focus.....

Jiamini....Amini uwezo wako.....Usisahau sala/Dua
The rest itabaki history.....

Kama ni Kazi Yako MUNGU kaku andikia utapata.....Pia usipo pata jipange upya....Ipo siku kwa wakati wake MUNGU wa majeshi atakupa Kazi Yako.....

Kila la kheri mkuu.

NB; Mrejeshoo muhimu
 
Hahaha hivi mkuu ukiulizwa unataka mshahara wa kiasi gani unatakiwa ujibuje? Na je ukitaja hela ndogo wanakulipa hiyo hiyo tu na vipi ukisema yoyote watakayoona wao inafaa?
Nafikiri huwa wanauliza kwanza kujua value yako ( unajithaminisha vipi ), kutokana na ulicho nacho kuanzia uzoefu wake, na elimu yako. Pili watakupa mshahara ambao upo kwemye scale husika katika nafasi husika, ila kama wamekuita kama mtu special mnaweza vutana na wakakupa unachotaka au mnaweza kukubalina some terms.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
Hii ya pili ulipatia au?
 
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.

Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?

Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.

Na mm kesho kuna interview flan naenda kuisimamia Dar kwenye NGO ....
nikumkumaizi ni ww nakunyuka nyundo ya utosi manake nakumbuka uliwahi kumitukana humu
 
Usi over-dress, wala under-dress, usiwe over confidence wala under.., usitumie kilevi kabla ya interview, usivae chain, Pete miwani (labda iwe ya macho), usisahau kuvaa saa, weka simu silent, do homework ya mission na vision ya iyo NGO, usicheke cheke, ukikaa kaa bila kukunja 4 wala kutikisa miguu, usikunje mikono kama boss,.. dadeq
Pia akifika mlangoni kweye chumba cha usaili.
1.Agonge/ kubisha hodi hata kama mlango upo wazi.
2. Akiingia asubiri akaribishwe kiti I.e asikaee bila kukaribishwa.
Kila la heri kwake
 
Hii ya pili ulipatia au?
Ile tulianza na writen kufunua pepa tu Physics, Hesabu na Industry Chemistry za kufa mtu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nafasi zilikuwa mbili mshara ulikuwa kufuru na alowance zingine, maana hadi watabe kutoka nje walikuja.. Furukuta na kufurukuta sina scientific calculator mzee naazima azima tu, nikaonekana sipo serious nikaishia tazama mapaja ya Snr HR kupoza mahasira .. pepa inakuja nimepata 70% .. kuna wanga walitoboa zaidi ya hapo. Nikafunga virago hasubuhi na mapema.. huyo home.. na ndio ikawa interview yangu ya mwisho.. hadi leo sijawahi tena fanya interview
 
Back
Top Bottom