ππππ niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
Hahaha hivi mkuu ukiulizwa unataka mshahara wa kiasi gani unatakiwa ujibuje? Na je ukitaja hela ndogo wanakulipa hiyo hiyo tu na vipi ukisema yoyote watakayoona wao inafaa?
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
Hahaha hivi mkuu ukiulizwa unataka mshahara wa kiasi gani unatakiwa ujibuje? Na je ukitaja hela ndogo wanakulipa hiyo hiyo tu na vipi ukisema yoyote watakayoona wao inafaa?
Nafikiri huwa wanauliza kwanza kujua value yako ( unajithaminisha vipi ), kutokana na ulicho nacho kuanzia uzoefu wake, na elimu yako. Pili watakupa mshahara ambao upo kwemye scale husika katika nafasi husika, ila kama wamekuita kama mtu special mnaweza vutana na wakakupa unachotaka au mnaweza kukubalina some terms.
ππππ niliuilizwaga na kampuni moja ya gas kubwa sana duniani, ilikuwa oral unataka mshahara wa shilingi ngapi.. si nikawaambia elfu 50,000 wananiuliza mala mbili mbili.. dah! .. ila cha ajabu kwenye ile oral tulipita watu wa nne.. sikuamini asee.. nilienda chemka kwenye Practical, napo sijui nililogwa nilihalisha vibaya kila saaa.. dah!.. Badae kuna kampuni ingine ya gas ikaniita, nikamkuta yupe HR wa kampuni ya kwanza kule tena senior HR ni mzuri kinomaaa.. akasanhaa why nilikosaa... kule bonge ya chombo ilikuwa pisi plus pro max, inakaa masaki.. inatembea Benz Moja matata akili imekaa kichwani dah
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
Na mm kesho kuna interview flan naenda kuisimamia Dar kwenye NGO ....
nikumkumaizi ni ww nakunyuka nyundo ya utosi manake nakumbuka uliwahi kumitukana humu
Usi over-dress, wala under-dress, usiwe over confidence wala under.., usitumie kilevi kabla ya interview, usivae chain, Pete miwani (labda iwe ya macho), usisahau kuvaa saa, weka simu silent, do homework ya mission na vision ya iyo NGO, usicheke cheke, ukikaa kaa bila kukunja 4 wala kutikisa miguu, usikunje mikono kama boss,.. dadeq
Pia akifika mlangoni kweye chumba cha usaili.
1.Agonge/ kubisha hodi hata kama mlango upo wazi.
2. Akiingia asubiri akaribishwe kiti I.e asikaee bila kukaribishwa.
Kila la heri kwake
Ile tulianza na writen kufunua pepa tu Physics, Hesabu na Industry Chemistry za kufa mtu ππππ nafasi zilikuwa mbili mshara ulikuwa kufuru na alowance zingine, maana hadi watabe kutoka nje walikuja.. Furukuta na kufurukuta sina scientific calculator mzee naazima azima tu, nikaonekana sipo serious nikaishia tazama mapaja ya Snr HR kupoza mahasira .. pepa inakuja nimepata 70% .. kuna wanga walitoboa zaidi ya hapo. Nikafunga virago hasubuhi na mapema.. huyo home.. na ndio ikawa interview yangu ya mwisho.. hadi leo sijawahi tena fanya interview
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.