Tatizo unapoteza sana muda JF.Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unapoteza sana muda JF.Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana...
All the best ndugu......👏Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana....
oo my love kumbe so wewe kuna jamaa anaitwa Bujibuji alikuja hapa na kutuambia umefariki, kumbe sio wewe. nimekuona hapa hadi machozi ya furaha yamenitoka kabisa...huyu jamaa ni muongo sana,mbaya zaidi ile namba yako haipatiani.Kila la Kheri. Mungu akutangulie.
ni kitabu kipi Mungu ameyasema hayo ya kwako?Mungu anao watu wengi sana mitaani ambao kesho watafanya intaviu na wote hao aliwaambia wajisaidie wenyewe naye atswsaidia, hivyo ni jukumu lako kijisaidia, ila ukitaka nikuombee tuma mgao wangu kabisa maana mkipata mnajificha.
Oohh SawaNafikiri huwa wanauliza kwanza kujua value yako ( unajithaminisha vipi ), kutokana na ulicho nacho kuanzia uzoefu wake, na elimu yako. Pili watakupa mshahara ambao upo kwemye scale husika katika nafasi husika, ila kama wamekuita kama mtu special mnaweza vutana na wakakupa unachotaka au mnaweza kukubalina some terms.
Tatizo ninaendesha Taxi na abiria hakuna kama zamani sababu ya bajaj zimekuwa nyingi. Nisipopiga story JF nikapige wapi?Tatizo unapoteza sana muda JF.
Huu msemo huwa ninausikia sana na hakika una mantiki nzuri. Ni fungu gani katika biblia/quran takatifu mkuu?Jisaidie nami nitakusaidia.
Thanks'𝖶𝗂𝗌𝗁 𝗒𝗈𝗎 𝖡𝖾𝗌𝗍 𝗈𝖿 𝗅𝗎𝖼𝗄𝗒
Tatizo unapoteza sana muda JF.Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...www.jamiiforums.com
Tafuta kijiwe kingine ili muda unaoupoteza JF uingize ngawira. Unaweza kutumia hii smartphone ikakuingizia kipatoTatizo ninaendesha Taxi na abiria hakuna kama zamani sababu ya bajaj zimekuwa nyingi. Nisipopiga story JF nikapige wapi?
Tatizo ninaendesha Taxi na abiria hakuna kama zamani sababu ya bajaj zimekuwa nyingi. Nisipopiga story JF nikapige wapi?
Sawa mkuuKwani ni lazima ung’ang’ane mjini tu! Jiongeze, sisi tulioko vijijini na pembezoni na miji mbona tunaishi vizuri tu kwa kujilimia mashamba, bustani n.k. Mentality ya kupenda kukaa mijini na huna pesa ndiyo itakufanya uendelee kujuta! Asilimia kubwa ya watanzania tupo vijijini vizuri kabisa bila pressure yoyote! Mnaopenda kukaa mijini na wakati hamna kazi yoyote ya kufanya mkisubiri kuajiriwa tu kaeni tu, lakini siku moja hadi mawe yayasema!
Sio kila anayekaa kijijini ana maisha mazuri. Mimi nimefanya kazi Morogoro na Simanjiro vijijini miezi sita kwa kila kijiji nimeona umasikini wa kutisha yaaani baba, mama na watoto wanalala chumba kimoja.Kwani ni lazima ung’ang’ane mjini tu! Jiongeze, sisi tulioko vijijini na pembezoni na miji mbona tunaishi vizuri tu
Sio kila anayekaa kijijini ana maisha mazuri. Mimi nimefanya kazi Morogoro na Simanjiro vijijini miezi sita kwa kila kijiji nimeona umasikini wa kutisha yaaani baba, mama na watoto wanalala chumba kimoja.
Wenye maisha mazuri vijijini ni 3% tu ya wakazi wa huko. Wengi wao ni walevi wa kutupwa. Labda wewe ni sehemu ya hiyo 3% na usiaminishe watu eti woooote wanaokaa vijijini wana maisha bora
Uongo huu mkuu. Asilimia kubwa ya wakazi wa vijijini wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Ninaendaga likizo kijijini hivyo ninaifahamu hali halisi ya huko.Asilimia kubwa ya watanzania tupo vijijini vizuri kabisa bila pressure yoyote!
Uongo huu mkuu. Asilimia kubwa ya wakazi wa vijijini wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Ninaendaga likizo kijijini hivyo ninaifahamu hali halisi ya huko.
Wenye unafuu wa maisha ni 3% pekee ya wakazi wote huku wengi wao wakiwa ni watumishi wa serikali kama walimu, askari pamoja na maafisa kilimo/mifugo.
Tatizo unapoteza sana muda JF.
Siwezi kuacha kutumia JF wakati hiyo fursa ya interview yenyewe nimeipata humu humu JF. You are not serious.Tafuta kijiwe kingine ili muda unaoupoteza JF uingize ngawira.