Kesho 31/3/2015 Ndio Uzinduzi wa Kampeni ya NDIO/HAPANA kwa Katiba pendekezwa.

Katiba ishafeli,hakuna kitu
Ndugu mbona unakata tamaa mapema! Kufeli kwako sio kufeli kwa katiba. Kura ya maoni ipo palepale,jiandae kwa kampeni hapo kesho. Kama huna nauli ya kwenda kushiriki uzinduzi inabidi unitafute nikufadhili ndugu yangu mwenye kukata tamaa. Katiba inayopendekezwa ndio mpango mzima. Kupita kwake sio ombi bali ni lazima. Kila la kheri
 
Long live Katiba Inayopendekezwaaaaa!!
 
Dada unawiki mbili tu humu lakini, naona unataka kuvamia jukwaa kwa kasi sana.. polesana , jifunze taratibu za jf, na nini kinapaswa kuandikwa dada yangu.. polesana,... nilitegemea wewe unayejua unifafanulie je siku za kuelimisha jamii ni siku 60 au 30, sidhani hata kama sheria juu ya hili jambo unaijua. vema..
ACHA KUTUSUMBUA NA MASWALI YAKO YA KIZUSHI NENDA KAWAULIZE TUME YA UCHAGUZI,WENZIO TUNAJIANDAA KUPIGA KURA WEWE USIWE KAMA FISI ALIYEALIKWA HARUSI 2 akashindwa kuatend zote kwa kukalia kumangamanga.
 
Dada unawiki mbili tu humu lakini, naona unataka kuvamia jukwaa kwa kasi sana.. polesana , jifunze taratibu za jf, na nini kinapaswa kuandikwa dada yangu.. polesana,... nilitegemea wewe unayejua unifafanulie je siku za kuelimisha jamii ni siku 60 au 30, sidhani hata kama sheria juu ya hili jambo unaijua. vema..
Hilo swali utakuwa unamuonea bure tu nenda kawaulize NEC, na suala la yeye kuanza wiki moja au miaka 10 halihusian kabisa na uchangiaji hoja kabisaaa coz kuwahi sio kufika, wewe umeanza 2011 lakini mambo unayoweka humu pumba tu na umeshindwa kujibu hoja nyingi, kila mtu ana uhuru wa mawazo humu ndani na istoshe hii Forums sio yako wala ya baba yako.
 
Hongera sana unayejua.

Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni kampeni za NDIO na HAPANA zinaanza
Kesho tarehe 31 Machi, maana kampeni ni siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura ya maoni ambayo ni Aprili 30.

Je unaijua kamati yako ya ndio au hapana?

Je mmetangaziwa lolote na Tume ya Uchaguzi juu ya kuanza kwa kampeni?

Kama hapana,

kataa mwenendo wa maisha ya kuvunja sheria, kwa namna maandalizi yalivyo hatuwezi kuwa na Kura ya Maoni bora.

Kibanga shukrani kwa kunikumbusha.
 
Sitaharibu kura yangu. Sitasusa kupiga kura.
Nakwenda kuchagua BANANA.

Nasema hivyo kwasababu sijui naenda kupiga kura ya katiba yenye maudhui na shabaha gani kwa watanzania. Mimi ni mmoja kati ya watu wengi wasiojua kilichomo kwenye katiba pendekezwa. Nitaonyesha uzalendo kwa kushiki kupiga kura nikiungana na malilioni ya watanzania wenzangu kuchagua NDIZI. Uzalendo wangu kwa nchi yangu nitauonyesha na kuutekeleza bila kushurutishwa na mtu yeyote bali nitatumia akili yangu timamu kufanya upembuzi yakinifu kujua mbivu na mbichi za kilichomo kwenye katiba pendekezwa. Lakini kwasasa hatua tuliyofikia. Kwa muda huu tuliobakiwa nao. Kwa uzembe huu unaofanyika na serikali hii kutoa elimu kwetu wananchi masikini tusiomiliki hata televisheni. Nachelea kusema nitachagua ndizi.
 
kama lilivyo jina lako we zero kweli na sio mfuatiliaji wa taarifa za nchi yako kiasi kwamba hujui nini kinaendelea sasa kwa kukusaidia nenda tume ya uchaguzi utapata data usituchafulie hali ya hewa humu.

Mbona mnatokwa povu tu badala ya kujibu hoja za watu, sasa mwenzako kakuuliza vizuri tu badala ya kumjibu unampa mipasho.
Halafu nyinyi ndo mnajiita waelimishaji wa katiba pendekezwa!
Kama ulikua hujui vinatumika vitambulisho vipi si ungenyamaza tu badala ya kumquote!
 
Usife kibaraka wake huyo hapo juu, punguza maneno makali kaka, tuko kuelimishana hapa.
 
Hilo swali utakuwa unamuonea bure tu nenda kawaulize NEC, na suala la yeye kuanza wiki moja au miaka 10 halihusian kabisa na uchangiaji hoja kabisaaa coz kuwahi sio kufika, wewe umeanza 2011 lakini mambo unayoweka humu pumba tu na umeshindwa kujibu hoja nyingi, kila mtu ana uhuru wa mawazo humu ndani na istoshe hii Forums sio yako wala ya baba yako.

wewe na huyo mwenzako ndo mtakua hamjaelewa mada manaenda OP mada inahusu utaratibu wa kura ya maoni ambapo kampeni ni moja ya utaratibu uliopo kwenye kura ya maoni, sasa mtu akiuliza idadi ya siku za elimu na kampeni ndo anakua yupo nje ya mada?

Kama mtu akiuliza ni bora kusema hujui, hili ni jukwaa la watu wanaojitambua so kama huna jibu ni bora kusema hujui utaonekana wa maana kuliko kusema akawauliza NEC
 
Sasa kama majibu unayo iweje unauliza majibu tena? huo ni ushabiki usio na maana.
 
huu ndiyo muda wa kuipitisha Katiba ambayo inajali makundi mbali mbali ya kijamii
 
Haswaa, watanzania tuisome zaidi na zaidi tujue mambo mazuri yaliyomo ndani ya Katiba hii na tusipendeke kuvutwa mashati na watu wasioitakia mema nchi hii.
 
Usife kibaraka wake huyo hapo juu, punguza maneno makali kaka, tuko kuelimishana hapa.

Sasa mbona hamtoi hiyo elimu, me nnachoona hapo mtu akitotofautiana na mawazo yenu tu mnampa mipasho badala ya kumpa hiyo elimu.

Mtu akitofautiana na mnachikiamini haitakiwi mumshambulie ila inatakiwa mumjibu kwa hoja huo ndo u'great thinker
 
yani nawewe kwa akili yako unataka kuipigia kura ya NDIO katiba ya joka lenye makengeza?[/QUOT

DEOGRATIUS KWANZA NDIO NAKUONA HUMU, ASANTE KWA KUNIJIBU! KINACHOFANYIKA SASA NI MAANDALIZI YA KUIPIGIA KURA KATIBA INAYOPENDEKEZWA WALA SIO NYOKA WA MAKENGEZA KAMA UNAVYODHANI, UKISEMA HIVYO NI KUWATUKANA WATANZANIA TUUNGANE KULIVUSHA TAIFA LETU KWA KULIPATIA KATIBA MPYA!
 
Back
Top Bottom