Kesho 31/3/2015 Ndio Uzinduzi wa Kampeni ya NDIO/HAPANA kwa Katiba pendekezwa.

Kesho 31/3/2015 Ndio Uzinduzi wa Kampeni ya NDIO/HAPANA kwa Katiba pendekezwa.

Mkuu waambie hao, kura zisipotee kabisa. Mimi binafsi kura yangu ni HAPANA kwa katiba ya gaba chori joka lenye makengeza mwizi mkubwa!!
Ndo akili yako iko hivyo kama nyoka wa namna hiyo kama huna jipya zaidi ya matuc ya ajabu, soma katiba na upige kura ya ndiyo.
 
Ndo akili yako iko hivyo kama nyoka wa namna hiyo kama huna jipya zaidi ya matuc ya ajabu, soma katiba na upige kura ya ndiyo.
kweli MAPUNGUANI mpo wengi
yaani bora ya nyoka hata anajielewa kuwa anaenda shomo gani kuliko pinguani asiyejua aendako
  1. umeshaandikishwa katika Daftari la wapiga kura?
  2. Huo Mkoa mmoja wa Njombe wameshaandikishwa wote
  3. kupiga kura ya HAPANA sio dhambi bali ni kutaka jambo hili lije kwa usahihi, ukweli na uwazi sio kuminyaminya kam six alivyolipeleka puta
  4. leo vipengele na miswada inaongezwa kinyemela ninyi mnakimbilia NDIYOOOOOOOOOOOO
jIANDIKISHE KWANZA NA UISOME KATIBA PENDEKEZWA kabla ya kupiga kura ua NDIO
 
Kila kitu kinaenda kadri kilivyopanga ondoa mashaka yako huo upunguani unao wewe, sasa endelea kuisoma katiba kisha uje kupiga kura ya ndiyooooooo
 
Tbc wanatoa elimu ni wangapi weye televishe?na huu umeme kila siku kukatika unafikiri kuna katiba hapo?haiwezekani kupiga kura hiyo tarehe,na pia tutapiga kwa vitambulisho vipi?wengi hatujaandikishwa na sasa ni haki yetu ya msingi kuandikishwa na kupiga kura maana umri umefika.
 
Ondoa shaka mtanzania wewe, kwani hata redio huna? Kila kitu kimepangwa kama kilivyo ondoa mashaka ndugu mambo yatakwenda vizuri, kwa sasa endelea kuisoma katiba hiyo uielewe kisha subiria utaratibu utakao kuja ili uje kupiga kura ya ndiyo kuonyesha uzalendo kwa nchi yako kwa manufaa yako na vizazi vyako hapo baadae.
 
Jamani tumwogope Allah hii katiba ni funika kombe mwanakharamu apite !
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni kampeni za NDIO na HAPANA zinaanza
Kesho tarehe 31 Machi, maana kampeni ni siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura ya maoni ambayo ni Aprili 30.

Je unaijua kamati yako ya ndio au hapana?

Je mmetangaziwa lolote na Tume ya Uchaguzi juu ya kuanza kwa kampeni?

Kama hapana,

kataa mwenendo wa maisha ya kuvunja sheria, kwa namna maandalizi yalivyo hatuwezi kuwa na Kura ya Maoni bora.

Kupiga kura au kutokupiga kura ni uamuzi binafsi wa mtu, mimi ninachojua watanzania wengi wanajua haki zao na wakati wa upigaji wa kura huwa wanajitokeza kwa wingi sana, hili ni jambo jema kuwa zoezi la upigaji wa kura ya maoni kwa katiba mpya litafanyika kwa uzuri na tutapata katiba bora kikubwa ni kufuatilia hatua zilizobaki ili tusiachwe nyuma.
 
Kura ya maoni iko pale pale yaani tarehe 30.4.2015. Sasa hivi tunashughulika na uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia BVR. Kama kutakuwa na mabadiliko tutawajulisha!
 
Kwa hali ilivyo Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) tuna kipindi kigumu na kama Mungu hajaingilia kati basi kuna vurugu kubwa ambayo tutashindwa kuituliza. Tunahitaji hekima ya Kiungu. Mungu awabariki ndugu zangu.
 
Ndugu yangu Hebron Caleb, Tanzania tuna asili ya kujali utu, amani, upendo, ukarimu vitu ambavyo nchi yetu inaviheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa lulu hii angavu nchini.

Hekima ya Mungu ni ya muhimu, lakini nasi kama Watanzania tuache ushabiki ambao hauna manufaa kwa nchi yetu, tuzingatie msingi wa kuheshimiana. Tusiwaogopeshe Wanzania kuhusu amani ya nchi yetu, ni jukumu lako mimi na wewe mabadiliko ya utunzaji wa amani yanzie kwetu ili kuendeleza tunu ya amani iliyoasisiwa na Wazee wetu J.K. Nyerere na Abeid Aman Karume.
 
Back
Top Bottom