Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ndugu mbona unakata tamaa mapema! Kufeli kwako sio kufeli kwa katiba. Kura ya maoni ipo palepale,jiandae kwa kampeni hapo kesho. Kama huna nauli ya kwenda kushiriki uzinduzi inabidi unitafute nikufadhili ndugu yangu mwenye kukata tamaa. Katiba inayopendekezwa ndio mpango mzima. Kupita kwake sio ombi bali ni lazima. Kila la kheriKatiba ishafeli,hakuna kitu
Ndugu mbona unakata tamaa mapema! Kufeli kwako sio kufeli kwa katiba. Kura ya maoni ipo palepale,jiandae kwa kampeni hapo kesho. Kama huna nauli ya kwenda kushiriki uzinduzi inabidi unitafute nikufadhili ndugu yangu mwenye kukata tamaa. Katiba inayopendekezwa ndio mpango mzima. Kupita kwake sio ombi bali ni lazima. Kila la kheri
ACHA KUTUSUMBUA NA MASWALI YAKO YA KIZUSHI NENDA KAWAULIZE TUME YA UCHAGUZI,WENZIO TUNAJIANDAA KUPIGA KURA WEWE USIWE KAMA FISI ALIYEALIKWA HARUSI 2 akashindwa kuatend zote kwa kukalia kumangamanga.
Hilo swali utakuwa unamuonea bure tu nenda kawaulize NEC, na suala la yeye kuanza wiki moja au miaka 10 halihusian kabisa na uchangiaji hoja kabisaaa coz kuwahi sio kufika, wewe umeanza 2011 lakini mambo unayoweka humu pumba tu na umeshindwa kujibu hoja nyingi, kila mtu ana uhuru wa mawazo humu ndani na istoshe hii Forums sio yako wala ya baba yako.Dada unawiki mbili tu humu lakini, naona unataka kuvamia jukwaa kwa kasi sana.. polesana , jifunze taratibu za jf, na nini kinapaswa kuandikwa dada yangu.. polesana,... nilitegemea wewe unayejua unifafanulie je siku za kuelimisha jamii ni siku 60 au 30, sidhani hata kama sheria juu ya hili jambo unaijua. vema..
Hilo swali utakuwa unamuonea bure tu nenda kawaulize NEC, na suala la yeye kuanza wiki moja au miaka 10 halihusian kabisa na uchangiaji hoja kabisaaa coz kuwahi sio kufika, wewe umeanza 2011 lakini mambo unayoweka humu pumba tu na umeshindwa kujibu hoja nyingi, kila mtu ana uhuru wa mawazo humu ndani na istoshe hii Forums sio yako wala ya baba yako.
Mbona wanalumumba hawajibu jitokezeni
kijana tuliza munkari,kura ya maoni iko palepale tareha 30 april.
usiwe na wasiwasi,kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa
Hongera sana unayejua.
Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni kampeni za NDIO na HAPANA zinaanza Kesho tarehe 31 Machi, maana kampeni ni siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura ya maoni ambayo ni Aprili 30.
Je unaijua kamati yako ya ndio au hapana?
Je mmetangaziwa lolote na Tume ya Uchaguzi juu ya kuanza kwa kampeni?
Kama hapana,
kataa mwenendo wa maisha ya kuvunja sheria, kwa namna maandalizi yalivyo hatuwezi kuwa na Kura ya Maoni bora.
kama lilivyo jina lako we zero kweli na sio mfuatiliaji wa taarifa za nchi yako kiasi kwamba hujui nini kinaendelea sasa kwa kukusaidia nenda tume ya uchaguzi utapata data usituchafulie hali ya hewa humu.
Mbona mnatokwa povu tu badala ya kujibu hoja za watu, sasa mwenzako kakuuliza vizuri tu badala ya kumjibu unampa mipasho.
Halafu nyinyi ndo mnajiita waelimishaji wa katiba pendekezwa!
Kama ulikua hujui vinatumika vitambulisho vipi si ungenyamaza tu badala ya kumquote!
Hilo swali utakuwa unamuonea bure tu nenda kawaulize NEC, na suala la yeye kuanza wiki moja au miaka 10 halihusian kabisa na uchangiaji hoja kabisaaa coz kuwahi sio kufika, wewe umeanza 2011 lakini mambo unayoweka humu pumba tu na umeshindwa kujibu hoja nyingi, kila mtu ana uhuru wa mawazo humu ndani na istoshe hii Forums sio yako wala ya baba yako.
wewe na huyo mwenzako ndo mtakua hamjaelewa mada manaenda OP mada inahusu utaratibu wa kura ya maoni ambapo kampeni ni moja ya utaratibu uliopo kwenye kura ya maoni, sasa mtu akiuliza idadi ya siku za elimu na kampeni ndo anakua yupo nje ya mada?
Kama mtu akiuliza ni bora kusema hujui, hili ni jukwaa la watu wanaojitambua so kama huna jibu ni bora kusema hujui utaonekana wa maana kuliko kusema akawauliza NEC
huu ndiyo muda wa kuipitisha Katiba ambayo inajali makundi mbali mbali ya kijamii
Usife kibaraka wake huyo hapo juu, punguza maneno makali kaka, tuko kuelimishana hapa.
Sasa kama majibu unayo iweje unauliza majibu tena? huo ni ushabiki usio na maana.
Angekua ana majibu angeuliza?
yani nawewe kwa akili yako unataka kuipigia kura ya NDIO katiba ya joka lenye makengeza?[/QUOT
DEOGRATIUS KWANZA NDIO NAKUONA HUMU, ASANTE KWA KUNIJIBU! KINACHOFANYIKA SASA NI MAANDALIZI YA KUIPIGIA KURA KATIBA INAYOPENDEKEZWA WALA SIO NYOKA WA MAKENGEZA KAMA UNAVYODHANI, UKISEMA HIVYO NI KUWATUKANA WATANZANIA TUUNGANE KULIVUSHA TAIFA LETU KWA KULIPATIA KATIBA MPYA!