Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
sasa mbona hamtoi hiyo elimu, me nnachoona hapo mtu akitotofautiana na mawazo yenu tu mnampa mipasho badala ya kumpa hiyo elimu.
Mtu akitofautiana na mnachikiamini haitakiwi mumshambulie ila inatakiwa mumjibu kwa hoja huo ndo u'great thinker
ona wewe ulivyomjibu!Tunaenda kwenye kura ya maoni kwa vitambulisho vipi? Vipya au vya zamani?
Sasa hapa nani anaechafua hali ya hewa kati yako wewe na yeye?
kama lilivyo jina lako we zero kweli na sio mfuatiliaji wa taarifa za nchi yako kiasi kwamba hujui nini kinaendelea sasa kwa kukusaidia nenda tume ya uchaguzi utapata data usituchafulie hali ya hewa humu.
duu pole ndugu, lakini si umeshaisoma katiba inayopendekezwa surazote 19?
Nadhani anatakamkujua uelewa wako juu ya ya hiyo.Nimeisoma ndio vipi kwani??
Nadhani anatakamkujua uelewa wako juu ya ya hiyo.
Mimi niko kundi la Banana (Ndizi); vipi mwenzangu? Chungwa au? Kimsingi, kama magamba wangeendesha mchakato inavyotakiwa, Katiba ilitakiwa kuwa na makundi mawili tu - NDIO au HAPANA. Lakini saa hizi kila mtu anaongea lake:-
(a) Kuna wa NDIO (magamba and the like)
(b) Kuna wa HAPANA (Maaskofu)
(c) Kuna waliosusa (UKAWA)
(d) Kuna undecided (Masheikh wa Kadhi)
(e) Kuna wasio na mpango (wanaouza nyaraka za nchi kwa tende)
(f) n.k.
Kibanga Ampiga mkuu kimya kimya mkuu nimekuelewa na nijua hiyo kitu haipo ingawa kuna watu wametutonya wanataka kuifanya mwezi wa nanae lakini vyovyote itavyokuwa tutapiga kura ya hapana
Kwa mujibu wa Sheria ya Kura ya Maoni kampeni za NDIO na HAPANA zinaanza Kesho tarehe 31 Machi, maana kampeni ni siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura ya maoni ambayo ni Aprili 30.
Je unaijua kamati yako ya ndio au hapana?
Je mmetangaziwa lolote na Tume ya Uchaguzi juu ya kuanza kwa kampeni?
Kama hapana,
kataa mwenendo wa maisha ya kuvunja sheria, kwa namna maandalizi yalivyo hatuwezi kuwa na Kura ya Maoni bora.
Kibanga Ampiga mkuu kimya kimya mkuu nimekuelewa na nijua hiyo kitu haipo ingawa kuna watu wametutonya wanataka kuifanya mwezi wa nanae lakini vyovyote itavyokuwa tutapiga kura ya hapana
Tatizo lililopo hapa ni uelewa na taarifa. Inashangaza sana ninyi ndiyo watoa hoja na ninyi hao hao mnatoa majibu ya vitu vilivyo nje ya uwezo wenu. Mmekuwa wasemaji wa NEC? Kwanini msiwaachie NEC kazi yao wafanye, nasi tuwaulize watupe majibu? Hizi "nec" za mtaani zisizorasmi ni hatari sana maana zinalisha watu taarifa wanazotaka wao kusikia na sii watu wanataka kusikia nini. Acheni hizo tabia za kudanganya danganya. Penda uzalendo, Jenga taifa lako.
umeambia za kutonya na sio taarifa au MWASI MWAKENDA au na wewe ni kama wale
Mimi nauliza tu, watu wameshaandikishwa wote?? na sheria ilisema lazima ziwepo siku 60 za elimu kwa wananchi ili waielewe na hilo lilikuwa jukumu la tume ya uchaguzi, sasa zimekuwa siku 30?? Lubuva anasema siku 30 wanaweza waandikisha maliza watanzania wote?? Hii nchi tuna matatizo makubwa sana, na kwa mwendo huu tutabaki omba omba milele yote.. vitu vya muhimu hatuna maandalizi, lakini vitu vya kijinga kama kukimbiza mwenge, sijui ..day, hizo pesa zake huwa zipo na zinaandaliwa mapema tu...
Tatizo lililopo hapa ni uelewa na taarifa. Inashangaza sana ninyi ndiyo watoa hoja na ninyi hao hao mnatoa majibu ya vitu vilivyo nje ya uwezo wenu. Mmekuwa wasemaji wa NEC? Kwanini msiwaachie NEC kazi yao wafanye, nasi tuwaulize watupe majibu? Hizi "nec" za mtaani zisizorasmi ni hatari sana maana zinalisha watu taarifa wanazotaka wao kusikia na sii watu wanataka kusikia nini. Acheni hizo tabia za kudanganya danganya. Penda uzalendo, Jenga taifa lako.
MWASI MWAKENDA nikiangalia hiyo picha yao inanichanganya lakini nakumbuka tu ngoja nikapumzikeHueleweki unataka kujua au kufahamu nini. Kapumzike kama umechoka. Wakati unapumzika chukua nakala yako jisomee Katiba Inayopendekezwa upate uelewa vizuri ili tushirikiana kuijenga nchi yetu.
naanza kuamini kuna baadhi ya watu wanataka kwa makusudi kabisa kulitumbukiza taifa katika machafuko.
Kaka mwezi wa nane kwa sheria ipi?
labda bunge likae tena lipitishe sheria mpyaa
Narudia tena, inwezekana nawe Kozo Okamoto unauliza maswali bila hata kufuatilia mjadala. Mmekuwa wasemaji wa NEC? Kwanini msiwaachie NEC kazi yao wafanye, nasi tuwaulize watupe majibu? Hizi "nec" za mtaani zisizorasmi ni hatari sana maana zinalisha watu taarifa wanazotaka wao kusikia na sii watu wanataka kusikia nini. Acheni hizo tabia za kudanganya danganya. Penda uzalendo, Jenga taifa lako.
mkuu ni kweli katika mambo yasiyowezekana kokote yawezekana tanzania kama mfu alipiga kura na kuwa counted do you think nini kitawashinda
christine nakuonea huruma maana umeingia kichwakichwa na kisha kuropoka katiba imeshafeli bila kueleza imefeli kivipi? Acha kujilisha upepo hili goma linasonga kwa spidi ya ajabu we kalia kuzubaa unakosa kuungana na mamilioni ya watanzania watakaoiunga mkono katiba pendekezwa.
Epuka kupoteza kura yako!
Mkuu waambie hao, kura zisipotee kabisa. Mimi binafsi kura yangu ni HAPANA kwa katiba ya gaba chori joka lenye makengeza mwizi mkubwa!!