permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Refa hakuwa fair, ile red card ya Onyango siyo sahihi, pale alipaswa aonywe kwa yellow.(1) kocha mgeni tumpe muda.
(2)timu imecheza vzr ila pale kati bado...
Na itawachukua miaka mingi sana kufikiaHatua Iliyofika Simba Sport Club
Bila Shaka Yoyote, Yanga Itabaki Kutazama Tu Kwa Wivu Mkali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu tuache na Simba yetu ila asante umenisemea mapema(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vzr ila pale kati bado...
Wanaona aibu kuzungumzia kombe la wamamaHa ha Manyani mbona mko bize sana na mechi ya wanaume, sioni kabisa mnaongelea utoporo kule Mbeya.
Hivi mnajua kesho mnacheza na dada wenzenu wa Mbeya?Kama nawaona watani zangu mikia wanavyoupitia huu uzi kwa mbaali huku wakiombea leo matokeo yaje kinyume ili waje kuanza kuporomosha kauli za kuudhi. 😂😂
Cc. Troisième Ceil na Penison . Teh.
Khaaa!! Babu na wewe?Hivi mnajua kesho mnacheza na dada wenzenu wa Mbeya?
Basi pambaneni na hali yenu. Acheni mabingwa wapambane na mabingwa wenzao...Khaaa!! Babu na wewe?
Ndio tunajua.
Toooba!!Basi pambaneni na hali yenu. Acheni mabingwa wapambane na mabingwa wenzao...
Mkija kuwa wakubwa mkawa mabingwa ndo mtajua mambo haya ya wakubwa
Akili awana awa jamaa.Basi pambaneni na hali yenu. Acheni mabingwa wapambane na mabingwa wenzao...
Mkija kuwa wakubwa mkawa mabingwa ndo mtajua mambo haya ya wakubwa
Wivu mbaya sana!(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Ute kama uteUtafiti wangu nloufanya, nmegundua... Utopolo FC a.K.a utooo... Wanajishugulisha sanaaaaaaa sanaaa na masuala ya Simba, kushinda hata wenye timu yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taifa linaaibishwa na makesi yenu fifa ya kudaiwa na wachezaji pesa za usajili, mtafanya hata wqchezaji wazuri kuogopa kuka kucheza Tanzania kwa tabia yenu chafuTaifa linaenda kuaibishwa, sijui tutawaambia nini watu
Eti wanasimba sa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyingine Simba huwa ugenini hatuchezi vizuri ila wakija dar hawachomoki iwe mvua au jua War in DarHizi ndio zitashika hatamu.
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) yule Morrison midevu tu hakuna lolote.