Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

Taifa linaenda kuaibishwa, sijui tutawaambia nini watu

Eti wanasimba sa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi pambaneni na hali yenu. Acheni mabingwa wapambane na mabingwa wenzao...

Mkija kuwa wakubwa mkawa mabingwa ndo mtajua mambo haya ya wakubwa
Toooba!!

Hivyo tutarajie kwamba mtapokea kichapo ama? Mana kama unajihami eti.
 
no.10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Wivu mbaya sana!
 
Taifa linaenda kuaibishwa, sijui tutawaambia nini watu

Eti wanasimba sa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Taifa linaaibishwa na makesi yenu fifa ya kudaiwa na wachezaji pesa za usajili, mtafanya hata wqchezaji wazuri kuogopa kuka kucheza Tanzania kwa tabia yenu chafu
 
Hizi ndio zitashika hatamu.

(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki

(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu

(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda

(10) yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Nyingine Simba huwa ugenini hatuchezi vizuri ila wakija dar hawachomoki iwe mvua au jua War in Dar
 
Back
Top Bottom