Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima
Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.
Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.