Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Waitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishuki
Mkuu kwa jinsi haya majitu yalivyo madicteta wanannchi wakiandamana watawauwa na kuwafunga jela iliyobaki tumwachie Mungu .
 
Kwa hiyo mnajisifia kwa hilo??Hongereni sana.
Ni wapi nimejisifia au nimesifia?? Nyie watu msiwe wajinga kiasi hicho! Wapi nimesifia au nimemkumbusha tu hiyo jamaa anayesema akidi haitatimia??
 
Wenzio wa kilombero walibisha wamepigwa kimoja cha 'nguruwe' leo mimba imezalisha 'watoto' lundo. CCM imechukua Halmshauri kwa tofauti ya kura moja.

Usiufurahie ujinga mkadhani mnajenga kumbe mnabomoa nchi kwa mikono yenu wenyewe. Siku zote haki hucheleweshwa tu.Atakuja jutia.
 
Ni wapi nimejisifia au nimesifia?? Nyie watu msiwe wajinga kiasi hicho! Wapi nimesifia au nimemkumbusha tu hiyo jamaa anayesema akidi haitatimia??
Mie ndiyo nemesema amid haitayimia maana hao CCM hawafiki nusu ya hiyo akidi

Hivi unajua kwamba unapozidi kuongeza number akidi nayo inapanda??Labda mlete wote 163
 
Usiufurahie ujinga mkadhani mnajenga kumbe mnabomoa nchi kwa mikono yenu wenyewe. Siku zote haki hucheleweshwa tu.Atakuja jutia.
Ujinga au u erevu ni relative term!
La kijinga kwako inaweza kuwa la ki urevu kwangu na kinyume chake!
 
Mkuu siyo kusimamia tu ni aibu ya Mwaka mpaka hivi leo kumwacha hawe huru
....inasikitisha sana eti leo kuna watumishi wanachuliwa hatua kama majipu..tena kwa mbwembwe tele..wakati kuna wapuuzi kama huyu mkurugenzi wanafuta uchaguzi halali kwa hati feki za mahakama na wanaachwa tu....hizi double standards hazitawasaidia ccm wala rais wao JPM....maana watanzania si wajinga hivyo....
 
Magufuli umeiva majipu Dar es salaam nzima sasa majipu yako yameshaambukiza Kilombero na yanaendelea tu.

Bro Magu nani atakutumbua, watanzania tunadhurika na majibu yako yanayoambukiza
 
hahahaaaaa...
Madufuli hamna usafi wa kutumbua wenzenu..
sijui nimepatia grama ..
kwanza nashangaa serikali ya CCM wameghushi hati ya mahakama jambo ambalo ni aibu na jinai..
hakuna hatua..
mteule wa Mungu mbona hamjitumbui ?
Kilombero wameshinda kwa kuwaweka ndani wajumbe wa upinzani wenye kura..
CCM naona keki ya Taifa tamu eee !!!!
tamu ee mama !???
mnaing'ang'ania tu..
Zanzibar hamtakiwi tena mnang'ang'ania tu !
Dar hamtakiwi tena mnang'ang'ania tu..
 
...wakifanya hivyo itakula kwao....maana hadithi yao ya kutumbua majibu itazidi kukosa wasomaji....

W ataendelea kujisifia lakini mpaka Jana nimemdharau Magufuli sana.Kumbe nia yake pia ni kujitajirisha tu kama waliopita.
 
njia bora na ya Uhakika ni kumshitaki Yule mkurugenzi aliyeleta zuio feki ukumbini , hii ingekuwa fundisho pia kumweka mtuhumiwa ndani Kwa saa 48 pasipo kumfikisha Mahakamani ni kosa kisheria na unaweza kuwashitaki polis endapo wataendelea kuzuia dhamana.
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.

Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima

Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.

Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
 
Ndiyo mbinu ilyopo kweli lakini wanatengeneza bomu. Nashauri UKAWA wadai maelezo mahamani juu ya zuio batili na kamata kamata isiyo na sababu wala haki
Pia wawafungulie kesi wale wote waliovuruga Uchaguzi makusudi .
 
njia bora na ya Uhakika ni kumshitaki Yule mkurugenzi aliyeleta zuio feki ukumbini , hii ingekuwa fundisho pia kumweka mtuhumiwa ndani Kwa saa 48 pasipo kumfikisha Mahakamani ni kosa kisheria na unaweza kuwashitaki polis endapo wataendelea kuzuia dhamana.
Watu wa namna hiyo wanaolinda mali za wakubwa kawaida hawaguswagi na serekali ya ccm ndio maana tunawambia mnayoyaona ni maigizo na mazingaombwe tu ya serekali ya Magazeti na Tv
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom