Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Hao wanaosema vurugu zilitokea, na ukawa walishiriki vurugu, chanzo cha vurugu ni mkurugenzi. Waliomshikilia halima wamuache baldala yake mkurugenzi ashikiliwe.
sio interest yao kumkamata huyo wala kumshitaki huyo kwa sababu hii ndiyo plan yao kuvuruga ili wachaguane wao au kuunda tume kuongoza jiji.
UKAWA wanatakiwa wajue kuwa hii ni vita na waweze ku act very smart....CCM wameshawazoea UKAWA kuwa watalalamika tuuuu...na malalamiko wala hayawasumbui wao..Wanajua mtalalamika mtanyamaza.
Hatua Ichukuliwe na wanasheria wa CHADEMA
Pia CHADEMA wahamasishe wananchi wadai haki yao barabarani.......kwa sababu ni wananchi ndio waliwapa ridhaa ya kuwaongoza...why wawe wanyonge
Pia Mbowe is being toooo soft....CCM haihitaji kwenda sooooft Hivi...Si unaona Lema alivyowaweza Arusha...he was not soft