Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
He he he acha nicheke tu, sio tatizo mrengo wako ni UPI, lkn shetani ana nguvu Na Mungu ana nguvu, zaidi ya yote uwe Na nguvu ya kushinda vishawishi, hata kuwapo Na hatari ya maisha yako, usimamie haki
Ukijua unachotetea vizazi vya leo na kesho kwa dhati hiwezi kurubuniwa
 
hivi ccm wanalinda chama au wanalinda mafisadi wanne tu waliofirisi jiji ?
 
ngoja nimalizie kupiga push ups zangu hapa, maana serekali yangu ya sasa Nguvu nyingii akili kiduchu
 
Magu alianza kukonga nyoyo za watu lkn sasa sio.sijui kwakuwa mseveni kaja hapa tz!!!
 
Mimi huwa najiuliza sana, kisha nashangaa mwenyewe. Upinzani kweli ni watu wa amani maana wamefanyiwa mengi sana lakini hatusikii ugonvi bali malalamishi.

Najiuliza kama wezi 1-6 hata 10 wanawasumbua mapolisi wetu kiasi hiki, hivi wakianzisha siri kubwa ya kutungua CCM mooja baada ya mwingine secretely bika kusema lolote itakuwaje? Maana mbinu za mtu asiye na nguvu nyingi sana. CCM wataanza kutembea na kihor bila kujua nani next maana polisi hawana uwezo wa kulinda wanachama wa CCM wenye kimbelembele wanao tuletea haya yote. Itakuwa mwisho wa so called amani na utulivu wetu.

MNAKUMBUKA HADIDHI YA "BADO MMOJA" YA MAREHEMU MUSIBA?
 
Mimi ile wik ya kwanza ya magu baada kuapishwa aisee nilisema upinzan unakufa kwa watakosa hoja kutokana na Rais wetu haachi doa sehem anafanya kaz kwa ueled na vile inavyotakiwa kumbee mmmmh yan ccm ni ile ilee cjui kwann wanawapa upinzan sabab za kuongea na kupata umaarufu,,,ccm ingejua inauwezo wa kuongoza nchi kwa ueled na usawa na haki na upinzan ukajifia wenyewe wacngefanya haya yan,,,mi nina hakika ccm wakifanya kaz kwa hak na ueled upinzan utakufa kifo kibaya sana mnawapa sabab upinzan na mambo ka haya ndo yanafanya upinzan ustawi, hamjui tu hiz figisu figusi ni kama mbolea ya kustawisha upinzan c mtaona!
 
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.

Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima

Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.

Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
Makufuli anazidi kudhiirisha ubora wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom