Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Hilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.
kwani hujui column ilitimizwa kwenye bunge la katiba
 
watafanya..ukawa wachukue hatua..hi kamata kamata ni ya nini?
Ni kuwafundisha uoga ukawa wawakazie mpaka kieleweeke wasiingie ukumbini mpaka watimbie wote hili akidi isitimie wavunje Sheria
 
Michezo ya kitoto kabisa na ni ujuha ktk level ya juu kabisa hii.
Yaani ufunge watu then ufanye uchaguzi alafu ukishinda utasema umeshinda kihalali.
DEmocrasia Africa has a different difinition I guess not Power in the hands of the people but rather power in the hands za watawala.
 
CCM wanatumia polisi kutimiza azma Yao bila ukawa kuchukua hatua itakuwa kazi bure....hi mikwara kama yako kwenye social media haisaidii
Lakini wanajivua nguo kuonyesha kile aalichofanya tarehe 25/10/2015
 
UKAWA Hamuwezi kupewa Umeya wa Jiji wala Umakamu... Habari ndio hiyo.... bora muache kujisumbua hatuangalii mpo wangapi.... ni sawa na kupewa Zanzibar hamapati kwa njia ya makaratasi.... poleni... Mshukuruni Lowassa Nguvu ilikuwa kwake ndio maana mmepeta Madiwani na wabunge kwa Wingi.... ila Mngelia kilio cha Samaki
 
Hamuwapi kwa sababu sio watanzania hawana haki au, mwatumia kigezo gani
 
UKAWA Hamuwezi kupewa Umeya wa Jiji wala Umakamu... Habari ndio hiyo.... bora muache kujisumbua hatuangalii mpo wangapi.... ni sawa na kupewa Zanzibar hamapati kwa njia ya makaratasi.... poleni... Mshukuruni Lowassa Nguvu ilikuwa kwake ndio maana mmepeta Madiwani na wabunge kwa Wingi.... ila Mngelia kilio cha Samaki
Sasa mnafanyaga uchaguzi kufurahisha mataifa ya nje?
 
Mkuu wananijua mrengo wangu
He he he acha nicheke tu, sio tatizo mrengo wako ni UPI, lkn shetani ana nguvu Na Mungu ana nguvu, zaidi ya yote uwe Na nguvu ya kushinda vishawishi, hata kuwapo Na hatari ya maisha yako, usimamie haki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom