Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maigizo and Mazingaombwe on workMimi ile wik ya kwanza ya magu baada kuapishwa aisee nilisema upinzan unakufa kwa watakosa hoja kutokana na Rais wetu haachi doa sehem anafanya kaz kwa ueled na vile inavyotakiwa kumbee mmmmh yan ccm ni ile ilee cjui kwann wanawapa upinzan sabab za kuongea na kupata umaarufu,,,ccm ingejua inauwezo wa kuongoza nchi kwa ueled na usawa na haki na upinzan ukajifia wenyewe wacngefanya haya yan,,,mi nina hakika ccm wakifanya kaz kwa hak na ueled upinzan utakufa kifo kibaya sana mnawapa sabab upinzan na mambo ka haya ndo yanafanya upinzan ustawi, hamjui tu hiz figisu figusi ni kama mbolea ya kustawisha upinzan c mtaona!
Kwenye hili mdomo utaingia barafuHuu uhuni hauvumiliki, huyu mkurugenzi mpaka sasa alitakiwa awe mahakamani kwa kuisingizia mahakama uongo, hivi wale waliokuwa wanaomba amani wamekwenda wapi? Ule unafiki umeonekana sasa huyu polepole mbona yuko kimya now? aseme kama kati ya hwa wana ukawa kuna fisadi maana yeye ndio mkweli kwa ccm now, aje aseme kwa kuwa anajidai kuipenda sna TANZANIA, hivi anawezaje kuipenda TANZANIA pasipo kuipenda DAR ES SALAAM?
Kuna watu wanafiki mapaka unaogopa kuwpa salamu, kama huyu MTU WA KALE duuu hapana aisee unafiki kwake ni kipaji,Kwenye hili mdomo utaingia barafu
Kwa ccm akidi ni msamiati, umesahau mswaada uliopitishwa bungeni na wabunge wasiozidi 50 bado raisi aliusaini na wanasheria wa kakaa kimya na kuwa sheria!!!!Wanahangaika tu bila ukawa akidi aiwezi kutimia labda wachague meya Wa Lumumba siyo Wa jiji la dar
Mkuu hawakawii kuimport wajumbe hawaHilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.
Chama cha machafukoMkuu
Mkuu hawakawii kuimport wajumbe hawa
Huu uhuni hauvumiliki, huyu mkurugenzi mpaka sasa alitakiwa awe mahakamani kwa kuisingizia mahakama uongo, hivi wale waliokuwa wanaomba amani wamekwenda wapi? Ule unafiki umeonekana sasa huyu polepole mbona yuko kimya now? aseme kama kati ya hwa wana ukawa kuna fisadi maana yeye ndio mkweli kwa ccm now, aje aseme kwa kuwa anajidai kuipenda sna TANZANIA, hivi anawezaje kuipenda TANZANIA pasipo kuipenda DAR ES SALAAM?
Ccm wanahila sanawakishapanga tarehe ya uchaguzi bila ya waliokamatwa kuachiwa UKAWA waende mahakamani kuzuia uchaguzi hadi wawakilishi wao watakapoachiwa
Lisu na Mallya kazi kwenu kuhakikisha makamada wote wanahudhuria uchaguzi bila figisufigisu
Nani anatakiwa amshitaki?
Hao wanaosema vurugu zilitokea, na ukawa walishiriki vurugu, chanzo cha vurugu ni mkurugenzi. Waliomshikilia halima wamuache baldala yake mkurugenzi ashikiliwe.Nani anatakiwa amshitaki?