Tetesi: Kesho CCM Wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Mkuu, nikikaa kimya eti kwa kuwa nimeelewa habari iliyokosewa nitakuwa sijalitendea haki jukwaa hili. Mimi ni mkongwe humu, kuachia wrong information zisambae kwangu ni usaliti, tena unaozidi ule wa HP
Ungemfuata pm
 
Mazuri yanayojiri dar sifA huwa mnampa magufuli,
Huu ubakaji wa demokrasia unaofanywa na serikali lawama apewe Magufuli maana matendo yote yana baraka zake na ni burudani yake ya kuficha majipu ya dar yasiguswe kabisa yuko tayari kuvumilia maumivu ya majipu yaliyoiva anayoyafuga kwenye mwili wake na kuwa wa kwanza kutafuta sifa kutumbua majipu ya wengine.
 
Mbona wanahangaika sana hawa ccm.... si wafute tu vyama vingi wawe peke yao kuliko waonekane wasanii? Mi hata siwaelewi kwa kweli.... wana wabunge kibao, kwa nini wasibadili sheria tu tukajua moja???
 
Inasikitisha sana wanatumia dola kuwanyanyasa masikini. Mimi binafsi imeniuma sana haiwezekani kabisa kura yangu ya Raisi wameiba tunawaangali haiwezekani lazima turivenge. Huu ni uhuni uliopitiliza mipaka. Haiwezekani wazuie uchaguzi iliwapate sababu ya kikamata watu wasio na hatia.
 
Mazuri yanayojiri dar sifA huwa mnampa magufuli,
Huu ubakaji wa demokrasia unaofanywa na serikali lawama apewe Magufuli maana matendo yote yana baraka zake na ni burudani yake ya kuficha majipu ya dar yasiguswe kabisa yuko tayari kuvumilia maumivu ya majipu yaliyoiva anayoyafuga kwenye mwili wake na kuwa wa kwanza kutafuta sifa kutumbua majipu ya wengine.
JUZI KUNA GAZETI MOJA LIMEMTAJA KIGOGO MOJA AMBAE NI JIPU WAMEKUJA NA KUMKANUSHIA KUA SIYO JIPU YENA HILO GAZETI LIMUOMBE RADHI HII NDIO SEREKALI YA CCM. CHAMA CHA MAJIPU KUKITENGANISHA NA HAYO HAYO MAJIPU NI SAWA NAKUMTENGANISHA NZI NA KINYESI
 
Hilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.

Akidi itatimia acha kupotosha. Akidi ni 50%+ sio theluthi mbili. Madiwani wazalendo wa viti maalum kutoka kwa znz na Mafia wameshafika kwny Viunga vya jiji la Dar es salaam kusaidia ndugu zao wa jiji la Dar es salaam kuepusha kunajisiwa jiji.
 
Ndiyo mbinu ilyopo kweli lakini wanatengeneza bomu. Nashauri UKAWA wadai maelezo mahamani juu ya zuio batili na kamata kamata isiyo na sababu wala haki
Waitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishuki
 
Akidi itatimia acha kupotosha. Akidi ni 50%+ sio theluthi mbili. Madiwani wazalendo wa viti maalum kutoka kwa znz na Mafia wameshafika kwny Viunga vya jiji la Dar es salaam kusaidia ndugu zao wa jiji la Dar es salaam kuepusha kunajisiwa jiji.
Hao wa nchi jirani? Ccm wanaupofu wa hali ya juu hii nchi siyo ya kwao wenyewe niyetu sote tunamamlaka nayo sote siyo yawachache
 
Waitishe maandamano wapigakura tufanye maamuzi, Magufuli mwenyewe ameishaanza kuchokwa na wananchi baada ya kuona publicit kubwa lakini hospital hakuna dawa na bei ya sembe na sukari haishuki
Huyo anafanyaga Mazingaombwe, Serekali ya Kushtukiza na yamagazeti na Tv
 
Akidi itatimia acha kupotosha. Akidi ni 50%+ sio theluthi mbili. Madiwani wazalendo wa viti maalum kutoka kwa znz na Mafia wameshafika kwny Viunga vya jiji la Dar es salaam kusaidia ndugu zao wa jiji la Dar es salaam kuepusha kunajisiwa jiji.

Hivi hujaona kwamva sheria ni wale 163 nani anampotosha nani???
 
...huyo mkurugenzi wa jiji ndie alitakiwa awe ananyea debe sasa hivi kwa kufuta uchaguzi na hati feki ya mahakamani...inasikitisha kama bado watamwacha asimamie uchaguzi ujao wa meya....maana tayari amekosa credibility hiyo...Nitashangaa sana kama hatachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria na waliompa hiyo nafasi...hafai huyo....haya ndiyo tunaita matumizi mabaya ya ofisi ya umma.....
 
hivi magufuli imani yake IPO kwenye nini!? hadi anasema TUMUOMBEEE!!?
Yeyote anaemuombea na huku akijua chama chake na serikali inafanya ufedhuli huu ni MWEEEEEHU
 
...huyo mkurugenzi wa jiji ndie alitakiwa awe ananyea debe sasa hivi kwa kufuta uchaguzi na hati feki ya mahakamani...inasikitisha kama bado watamwacha asimamie uchaguzi ujao wa meya....maana tayari amekosa credibility hiyo...Nitashangaa sana kama hatachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria na waliompa hiyo nafasi...hafai huyo....haya ndiyo tunaita matumizi mabaya ya ofisi ya umma.....

Huyo ni CCM hawawezi kumchukulia hatua
 
Mkuu siyo kusimamia tu ni aibu ya Mwaka mpaka hivi leo kumwacha hawe huru
 
Hivi hujaona kwamva sheria ni wale 163 nani anampotosha nani???

Wenzio wa kilombero walibisha wamepigwa kimoja cha 'nguruwe' leo mimba imezalisha 'watoto' lundo. CCM imechukua Halmshauri kwa tofauti ya kura moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom