Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima
Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.
Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
Figisu figisu zote zinazoendelea zimeshajulikanaNdiyo mbinu ilyopo kweli lakini wanatengeneza bomu. Nashauri UKAWA wadai maelezo mahamani juu ya zuio batili na kamata kamata isiyo na sababu wala haki
Ccm ni wazee wakupindisha sheria na katiba kwao katiba siyo kitu wala sheria siyo kituWanahangaika tu bila ukawa akidi aiwezi kutimia labda wachague meya Wa Lumumba siyo Wa jiji la dar
Chama cha Machafuko hakina haya kwenye lolote kwasababu wameshaishiwa seraHivi ccm hawana haya?, siasa chafu zitaisha lini?
MKUU NIFUMBULIE HILI FUMBOKisiwa cha kojani sasa kitakimbiwa naona kiwango cha utoaji huduma kimeshuka, Na yule fisi wetu bora tumpige shaba tu hana maana tena wakati huu
Ni nusu bhana sio theluthi mbili. Halafu siku nyingine uandike 'quorum' na sio 'column'Hilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.
Simba Akizidiwa anakula majani kamawaliweza kuleta wabunge wa Zanzibar hawashindwi kufanya juwaramia kama huo tenaHilo hawajalifikiria la column maana column inabidi izidi nusu au 2/3 ambapo CCM peke yao hawawezi kupata Naona hilo bado hawajaliona.
Si imeelewa au kwasababu amesema ukweli?Ni nusu bhana sio theluthi mbili. Halafu siku nyingine uandike 'quorum' na sio 'column'
Hizi mbinu hazina matumizi ya akili, ina maana sisiem wameishiwa kiasi hiki!?kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne ambao ni Mh. Waitara, Mh. Anatropia, Mh. Kubenea na Mh. Halima
Madiwani watatu na wabunge wawili Mh. Halima na Mh. Waitara hadi sasa wamezuiliwa central police.
Madiwani wengine tisa wapo kwenye orodha ya polisi ili wakamatwe. Na wabunge wawili Anatropia na Kubenea nao wapo kwenye orodha.
Wasipojisalimisha wenyewe central basi watakamatwa siku ya uchaguzi ambao unategemewa kufanyika wiki hii, kama alivyokamatwa Mh. Lijualikali wa Kilombero.
Kwani mbinu za ccm si zile zakufunika uso nakusema nimejificha wakati mwili mzima unaonekanaHizi mbinu hazina matumizi ya akili, ina maana sisiem wameishiwa kiasi hiki!?
Inshort ni mbinu za qale ambao hawakwenda shule kbs
Wameshaangushiwa na Mungu ndio maana wanatapatapaNatamani wamarekani waje waangushe hiroshima pale rumumba kile kizazi chote kipotee
Mkuu, nikikaa kimya eti kwa kuwa nimeelewa habari iliyokosewa nitakuwa sijalitendea haki jukwaa hili. Mimi ni mkongwe humu, kuachia wrong information zisambae kwangu ni usaliti, tena unaozidi ule wa HPSi imeelewa au kwasababu amesema ukweli?